Dar/ Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amepasua jibu la uchaguzi wa marudio wa Konde na sababu zilizomfanya mgombea wa CCM kujiuzulu ubunge baada ya kutangazwa mshindi...
Baada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake...
Kigogo wa Serikali ya Marekani aliyeingia nchini na kukutana na Mama Samia, ameonana vile vile na wapinzani.
Under Secretary of State Victoria Nuland wa Marekani, kigogo wa ngazi za juu wizara...
[A.] Mahojiano ya BBC na Rais wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan yanatafakarisha sana...
Mimi sifanyi tathmini ya aidha amejibu maswali vibaya au vizuri. Ninchotaka kusema ni kuwa, yamefunua...
Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba uliopo wilayani Geita, kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha...
Kiungwana kabisa nawashauri na kuwaombeni kuanzia sasa wana CHADEMA wote wekezeni mno katika Kuzisoma Nyendo za Viongozi wenu Waandamizi ili msije mkawa ama mnadanganywa au mnatumika kama Mitaji...
Mapendekezo yetu siku zote sisi wananchi, Azaki, activists na vyama yapo wazi kabisa sio kuongeza Magereza kila wilaya hapana. Nakumbuka hata wewe Jaji Mkuu umekuwa ukiyapigilia msumari...
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke, Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na...
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Jokate akisimamia zoezi la kuhakikisha watumiaji wa Vyombo vya usafiri wa umma wanavaa Barakoa ili kujikinga na ugonjwa wa UVIKO 19. Pamoja na utekelezaji wa...
Nimetafakari sana juu ya watanzania waliotoa maoni ya ya kuundwa katiba mpya mwaka 2012 na ushirikishwaji wa makundi yote ya kijamii.
Kuanzia mwaka 2015 kuna ongezeko kubwa la wasomi na vijana...
Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi...
Nikiwa kama Daktari nashauri Serikali itangaze Rasmi Wananchi wachukue hatua za kujikinga na huu ugonjwa ambao tayari ushaua watu milioni 3 duniani.
Jamani sina uhakika kama huu ugonjwa upo kwetu...
Mara kadhaa viongozi wa CHADEMA wamesikika wakinadi maendeleo ya watu badala ya vitu. Na wakati mwingine wameibeza CCM kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu ( miundombinu)
Ndiposa leo nikapata...
Assalamu Aleykum
Nimemsikia Mhe. Rais, Mama Samia Suluhu akiwa anahojiwa na Mwandishi, Salimu Kikeke. Kwa kweli Maswali yamejibiwa vizuri Sana.
Nafahamu Siasa zilivyo, nafahamu mambo ya kiutawala...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Swali langu ni hili:
Kama Chadema ni waumini wa kweli wa Katiba ya Wananchi (Rasimu ya Warioba) kwanini waliizika UKAWA kwa kumfurusha muasisi wake Prof Lipumba na...
Mwenye hio audio au video au hotuba ya maneno siku Rais Nyerere anatangaza azma ya Serikali kuhamia Dodoma Jambo ambalo Rais Hayati Magufuli alilitimiza.
Wakati tunashangilia kuingia Uchumi wa Kati basi ujue Tulikuwa tunashangilia yafuatayo;
1.Nchi kuhama kutoka kupewa mikopo nafuu na ya mda mrefu na kukopeshwa mikopo ya Kibiashara.
2.Kukoma au...
Mussa Zungu, Mbunge wa Ilala amesema haya
Hoja kuhusu viwango vya tozo za miamala ziko juu ni kweli yaani Laki moja inatafutwa kwa mbinde halafu ada inakatwa mara tatu, ndio maana Rais Samia...
Na Mwandishi wetu | 15th July 2014
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, kwa kushirikiana na Makamu Mwenyekiti, Samia Hassan Suluhu, wameteua wajumbe 30 wa Bunge hilo...
Leo tarehe 8 Agosti 2021, sisi Askofu Emmaus Mwamakula na Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe kuhusu Maadili, Amani na Haki, tuliongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.