Rais Hussein Mwinyi amewateua Haji Omar Haji na Mzee Ibrahim Mzee kuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar. Uteuzi wao umeanza Februari 01, 2021 Amefanya uteuzi huo chini ya Kifungu Namba 94(2) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984