Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya Rais Samia na mwandishi wa BBC Salim Kikeke.
Rais Samia amefafanua vizuri maana ya Demokrasia na hata jinsi nchi za Marekani na Ulaya zinavyoendesha siasa zao...
Watanzania wengi wanachanganywa sana na wanasiasa wanatumia maneno bila kuyaelezea vizuri au kutoa ushahidi. Polisi, CCM na Rais wa Tanzania kwa wao mkutano wa aina yeyote kama wa katiba au kuita...
Kwa namna tunavyoambiwa covid ipo na kwa ukweli kwamba binadamu ndiye kiumbe Mwenye risk yakupata huu ugonjwa na kwa kuzingatia kamatakamata isilo na legal facts inayoendelea upo uwezekano...
Tukiachana na unafiki, hakika nikiri kusema Serikali ya Rais Samia ni imara na madhubuti kwenye kusimamia amani na usalama wa nchi yetu.
Jukumu la Rais kama amri jeshi mkuu ni kuhakikisha...
Heshima kwenu wanajukwaa,
Kwanza nitangulize shukrani kwa vyama vya upinzani ambavyo vimeendelea kuonyesha ushindani kwa chama tawala.
Ndugu wanajukwaa moja ya Jambo ambalo naamini, ni kwamba...
Anaandika Askofu Bagonza
Chanjo Mbowe ,Katiba mpya, Tozo za miamala na Rais Samia.
Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa...
Kwanza naomba nieleweke kwamba, Huu uzi hauongelei chama chochote, isipokuwa unaangazia makosa ambayo yakifanyika ndani ya chama chochote, na nani ndani ya chama endapo atafanya makosa yanayopita...
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini...
Mimi kama mtaalamu wa Saikolojia na mbobezi wa Masuala ya kijasusi, nimemuogopa sana kuwa Samia Suluhu Hassan si kiumbe wa kawaida alipoingia madarakani alikuwa tayari ameshawagundua wabaya wake...
Kutokana na michezo ya kisiasa inavyoendelea nchini, sisi wananchi tunaona kabisaa wasaidizi ama washauri wa Rais wanamzunguka na wanahakikisha anaenda kuanguka kwenye uchaguzi mkuu 2025.
Issues...
Nimesikitishwa na kitendo cha Polisi kutumia mbwa dhidi ya Chadema.
Kwa sisi wenye umri mkubwa kidogo tunakumbuka picha za Polisi wa makaburu wa Afrika Kusini.
Wakati ambao mashitaka kwa Mbowe yakianza na wapinzani kushangaa, Kiongozi mkuu wa upinzani Russia Alexei Navalny hapungukiwi mashitaka na anaitwa gaidi na utawala. Huko China (hongkong) kupinga...
Huo hapo juu ni wizi na hujuma za waziwazi tunaofanyiwa na serikali yetu. Cost of living imekuwa kubwa, uchumi wetu wa kusuasia unazidi kuwa hoi hasa wazazi na ndugu zetu wanaotegemea mpesa...
Hakika siku zinakwenda mbio sana na ,ni siku chache sana zimepita toka lile kundi lililojawa furaha isio kifani baada ya aliekua mkuu wa wilaya ya Hai, Sabaya, kupandishwa mahakamani, tabasamu...
Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.
Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.
Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.
---- extracts tokea kwake...
Mtu yeyote mwenye kujua sheria anapoona tu kichwa cha thread hii, atasema sio sahihi, Rais Samia hapaswi kuingilia kati suala la mashitaka ya Mbowe ya Ugaidi kwa kuwa hapaswi kuingilia kati...
Nakumbuka siku ya mei mosi mwaka huu, mheshimiwa Rais alituhaidi kwamba serikali yake inatarajia kutoa ajira za kudumu 40000 kwa vijana mwaka huu.
Hata bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka wa...
Story of Change kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Naanza kwa nukuu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Aliwahi kusema ili tuendelee tunahitaji mambo manne. Watu, Ardhi, Siasa Safi na...
Kamanda Mambosasa leo hii ameongea na waandishi wa habari na kutoa taarifa kwa umma. Amezugumzia hali ya uhalifu na kesi mbalimbali nchini
Kamanda Mambosasa anaongea:
Kikosi cha Polisi Kanda...
Asubuhi ya leo, nilileta uzi hapa nikionya kuwa ukimfunga Mbowe, utafanya wapinzani waone hawana tena cha kupoteza kwa kufungwa au kuwekwa mahabusu.
Nilionya kuwa hatua ya kuwaweka ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.