Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habarin wadau .... mi nlkua naulizia suala.la wabunge wale wa chadema almaarufu kama covid19 je bado wapo kisheria pale bungeni huku wakiwa wamevuliwa uanachama? Rais hajaliona hili? Kesi yao ile...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
“Kwa kuwa sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na amani. Na kwa kuwa misingi hiyo...
1 Reactions
1 Replies
992 Views
Naomba nimkumbushe Naibu Waziri wa AFYA juu ya kauli zake mbili tofauti juu ya chanjo kwa marais wawili ndio zinazomfanya Askofu Gwajima alipuke na Kuwambia viongozi waache vigeugeu. Wakati wa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Niwe mkweli, furaha ninayoisubiri Ni Mama Samia kuamuru kesi ya Mbowe ifutwe na maisha yaendelee. Itakuwa furaha yangu kubwa maishani. Sitakuwa na furaha hata kidogo kesi ikienda mwisho na...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Kila serikali mpya inapoingia madarakani inakuwa na mtaji wake. Huo ni msemo maarufu wa wataalamu wa sayansi ya siasa na utawala bora kote duniani. Kwamba utawala mpya unapoingia madarakani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala. JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana JF, Bila kufanya tafiti zozote uhalisia wa mambo ya kiuchumi unakwamishwa na nilowataja. Tuanze na vyuo, vyo vingi vilivyofunguliwa nyakati za BRN karibu vyote vilikuwa ni vya kujenga...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SHAKA: RAIS SAMIA NI MBOBEZI KATIKA MASUALA YA UONGOZI. Umma waelezwe kuwa Anatosha na Atatuvusha. Viongozi wa dini waombwa kuhubiri Amani na Mshikamano. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa 26 aacha 13 wa zamani na kuingiza wapya 13. Nimezipata kutoka chanzo cha uhakika . ========================= Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
2 Reactions
887 Replies
208K Views
Napenda kutoa Rai kwa Vyombo vya Ulinzi na usalama kumkamata mara moja Mh Gwajima, kumuhoji na kumshitaki kwa counts tatu za msingi.Sitaki kuzungumzi hotuba ya Mch Gwajima kanisani kwake juzi...
15 Reactions
74 Replies
7K Views
Ni nani Mwenyekiti /Kiongozi wa Wakuu wote wa Mikoa na kama yupo alipatikanaje na wapi? Na vipi kuhusu nguvu yake kisiasa na kiuongozi ndani ya Serikali? Ana ulinzi mkubwa uliotukuka na...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Rais mteule Hakainde Hichilema. Jana Amelihutubia Taifa na kusema Yafuatayo [emoji117]TV ya TAIFA haikuonyesha MIKUTANO ya UPINZANI [emoji117]Msipoyaonyesha Watazamaji Watapungua...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana JF habari za hapa? Natumaini wote mu wazima wa afya, Naomba kuwauliza wana Greaty Thinkers tokea uchaguzi uishe kwenye kile kinyanganyiro cha kuwapata Madiwani/Wabunge na Raisi sijapata...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewakuta na kesi ya kujibu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, na wenzake wawili hivyo wanatakiwa kuanza kujitetea kesho Ijumaa Agosti 13, 2021...
19 Reactions
148 Replies
17K Views
Kesho Jumanne saa tano kamili asubuhi tutakuwa na mkutano na Waandishi wa Habari, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni. Waandishi wote mnakaribishwa, tunashauri kuzingatia protocol zote za kujikinga...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Jana Jumatatu tarehe 21 June,2021 Makamu wa Rais Mh. Dkt Mpango aliitembelea Bohari ya Dawa MSD ili kujua utendaji wa hiyo Bohari ambayo ni kiungo muhimu sana katika sector ya afya kwasababu MSD...
10 Reactions
55 Replies
8K Views
ALIYEJISAIDIA HAJA NDOGO JUU YA KICHWA CHANGU NIKIWA GEREZANI” Nelson Mandela: “Baada ya kutawazwa kuwa rais niliwaomba Baadhi ya walinzi wangu wa karibu kutembelea mgahawa fulani mjini ili...
23 Reactions
80 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa afya Dkt. Mollel amesema chanjo ya Corona ni salama ndio maana Rais Samia mara tu baada ya kuchanjwa aliweza kuendelea na shughuli zake kama kawaida. Mollel amesema Rais Samia...
3 Reactions
59 Replies
4K Views
Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli. Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha...
29 Reactions
199 Replies
12K Views
Back
Top Bottom