Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna mambo yanashangaza sana! Rais Mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye alikuwa miongoni mwa wasimamizi wa uchaguzi Mkuu nchini Zambia ameonekana hadharani akiwa na Mahasimu wakuu wa siasa za...
24 Reactions
86 Replies
7K Views
kwanza nianze ku-Declare Interest Mimi ni mdau wa Kilimo wa miaka mingi kuanzia Vitunguu na Nyanya Iringa mpaka Mahindi na Maharagwe Kia. Nmekua kwa muda mrefu nikitumia Mbolea zinazotengenezwa...
11 Reactions
50 Replies
5K Views
Kuna wakati polisi walimsubiri nje ya bunge ili akitoka tu wamkamate, Zitto Kabwe akagoma kutoka ukumbini ikabidi Spika Ndugai ampe lift hivyo akanusurika kukamatwa. Zitto Kabwe anataka kuwa...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara...
11 Reactions
47 Replies
7K Views
Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hatuta shangaa IGP Sirro kubadilishwa inaelekea hakuna mtu ambaye anamwamini lakini kibaya zaidi amejiingiza sana kwenye siasa waziwazi. Sirro atatumika na Rais Samia kujisafisha kwa mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Kuna video clip inazagaa kwenye social media ikimuonyesha Mwamba mmoja (simfahamu) ila seems ni miongoni mwa watu walikua kwenye list ya watoa speech kwenye lile kongomano LA Covid-19 akishindwa...
19 Reactions
160 Replies
19K Views
Narudia tena IGP anadharau sana, unasema utaangalia namna wayamalize kwa amani? Gwajima si alisema kuna viongozi wamehongwa? mambo ya kuhongwa yanaisha vipi hujui rushwa kesi yake inaishaje...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Chanjo zote zikiwamo Janssen ya J & J hutolewa kwa maelekezo yaliyo wazi kutoka kwa mtengeneza chanjo husika. Janssen kabla ya kutolewa kwa mtu haya yanahitajika kuchukuliwa: 1. Kipimo cha BP 2...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na suala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa madai ya askofu Gwajima ni kwamba kuna viongozi walipokea hongo ili chanjo ije, na akauliza walihongwa kiasi gani hicho mpaka kuwauza watanzania? Askofu alidai pia viongozi hao wamechanjwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hiki kinachoanza kuonekana kuwa vita ya wazi dhidi ya Mch. Gwajima naweza kusema kageukwa kimsimamo na wale wote waliokuwa hawana imani na chanjo za UVIKO 19 katika kipindi cha utawala wa JPM...
1 Reactions
5 Replies
678 Views
Serikali yetu imekata shauri la kuleta na kutoa chanjo ya UVIKO kwa watanzania/wananchi wake. Imeweka wazi kabisa kuwa chanjo ipo na ni ya HIARI. Yaani, mtanzania atakayeridhia kuchanjwa...
12 Reactions
74 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa Waziri Mollel: 1. Suala la ugonjwa wa Corona na tahadhari zake zikiwamo chanjo ni suala la kisayansi ambalo si kila mtu anaweza kuwa na ujuzi nalo. 2. Ni bahati mbaya sana kuwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama mnakumbuka Magufuli enzi zake aliwahi kuongea hadharani. 'msini drive'.. mnakumbuka? Tumewahi jiuliza alikuwa anawaambia kina nani??..kina nani Wana jeuri ya kum drive Rais? Hadi Magufuli...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Lilikuwa jambo la msingi kusimama kwa muda kupisha zoezi la chanjo kuanza bila ya kutatizika. Muda wa kuitumia karata ya wingi wetu vizuri ili kuyajaza magereza yao sawa sawa umewadia. Ni muhimu...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
KUPATA UONGOZI KATIKA NGAZI YA NAFASI YA URAIS SIO JAMBO LA DAKIKA MBILI , UVUMILIVU , KUMUOMBA MUNGU , KUANDAA SERA SHIRIKISHI , KUPIGANIA DEMOKRASIA ,KUWA MAONO YA MBELE NI BAADHI VITU...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katibu wa Kanda ya Victoria Zacharia Obad pamoja na viongozi na wanachama kadhaa wamekamatwa na Polisi walipohudhuria misa leo Agosti 15, 2021 katika Parokia ya Kawekamo, Mwanza kumwombea...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarin wadau .... mi nlkua naulizia suala.la wabunge wale wa chadema almaarufu kama covid19 je bado wapo kisheria pale bungeni huku wakiwa wamevuliwa uanachama? Rais hajaliona hili? Kesi yao ile...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom