Wabunge wa upinzani bungeni

The Don C

Member
Aug 29, 2018
31
7
Habarin wadau .... mi nlkua naulizia suala.la wabunge wale wa chadema almaarufu kama covid19 je bado wapo kisheria pale bungeni huku wakiwa wamevuliwa uanachama? Rais hajaliona hili? Kesi yao ile imefikia wapi?
 
HAKUNA MBUNGE ALIYEVULIWA UANACHAMA NANI KAKUAMBIA WAMEVULIWA? WANGEKUWA WAMEVULIWA USINGEWAONA BUNGENI
 
HAKUNA MBUNGE ALIYEVULIWA UANACHAMA NANI KAKUAMBIA WAMEVULIWA? WANGEKUWA WAMEVULIWA USINGEWAONA BUNGENI
Mkiambiwa Mmetolew UBONGO Mnachukia kwa Hoja yako ya Kijinga kama hii
JamiiForums1980995331.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
HAKUNA MBUNGE ALIYEVULIWA UANACHAMA NANI KAKUAMBIA WAMEVULIWA? WANGEKUWA WAMEVULIWA USINGEWAONA BUNGENI
kweli wewe ni boya kweli kweli ndiyo maana mnambambikizia Mbowe kesi kuwa ni gaidi kwa sababu mchango wa CHADEMA nchini hamuuthamini hata kidogo hata kwenye ilanio yenu ya chama cha mapinduzi chadema siyo chama cha siasa.
 
Back
Top Bottom