Naomba kumjua Mwenyekiti wa Wakuu wote wa Mikoa hapa Tanzania

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Ni nani Mwenyekiti /Kiongozi wa Wakuu wote wa Mikoa na kama yupo alipatikanaje na wapi?

Na vipi kuhusu nguvu yake kisiasa na kiuongozi ndani ya Serikali?

Ana ulinzi mkubwa uliotukuka na benefits zingine zingine au ni kama maRC wengnine tu wa huko Mikoani?

Naomba kumjua huyo boss wa maRC.

Mbarikiwe.
 
Bashiteee
 
Zamani wakuu wa mikoa walikuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu lakini siku hizi wazara ya Tamisemi ipo chini ya Ofisi ya Rais na Naibu Rais ndugu Maliyamungu idd Amin Bashite ndiyo Boss wao mkuu, kwa maana kwamba waziri wa Tamisemi kwa upande wa wakuu wa mikoa kamwachia Naibu Rais Maliyamungu Bashite awatawale kama watumwa sio kuwalea kama binadamu.
 
Nilidhani huu uzi una lengo la kujua kama kuna mkuu wa wakuu wa mikoa kumbe ni kuweweseka tu. Jaffo juzi kawaita wakuu wote wa mikoa huyo ndo boss wao ila hana mamlaka nao hawa ni wateule wa Rais kama alvyo Waziri Jaffo.
 
Back
Top Bottom