Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu utangaze kuwa umesikia "kelele" zetu kuhusu tozo za simu na siyo hoja na kwamba serikali yako ya CCM itazishughulikia, bado zimeendelea kuwepo na kutuumiza. Busara za kibinadamu zinataka...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu, nimepata hii updates ila kwa kweli hata kama Polisi wetu wanatumwa basi at least watumie hata akili. Why wanalazimisha kujenga chuki isiyomithilika kwenye jamii?? Was it necessary...
25 Reactions
137 Replies
11K Views
Watu waliotajwa Mtandaoni na katika vyombo vya habari na Makonda kuhusu kuuza madawa ya kulevya tena bila ushahidi wakiitwa na walihojiwa na Polisi bila kuhoji Barua ya Makonda. Na IGP Sirro...
12 Reactions
41 Replies
4K Views
Kinachoshangaza ni ninyi mnaoitwa vyama vya upinzani nchini kikiwamo chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, mmeshidwa kabisa kuwa na non-stop mission ambayo ingeweza kusaidia kuwapa nguvu kuwaambia...
0 Reactions
9 Replies
955 Views
Kipindi cha ukoloni, mkoloni hakupenda kabisa kuona watu wenye akili wakihoji. Kama Afrika isingekuwa na watu wenye kuhoji mpaka leo tusingekuwa tumejipatia uhuru.sehemu nyengine hawakupata uhuru...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Askofu Gwajima tulikutuma kutatua matatizo ya barabara za lami, viwanja kupimwa na kurasimishwa, huduma za kijamii kuboreshwa na mengine mengi. Barabara yangu bado haijawekwa lami na ndio kilio...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Leo TBC 1 Tv,nimeona Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma amezungukwa na magunia ya mahindi,hakuna soko. Hii inaashiria nini endapo aliyekuwepo mambo yalikuwa hayohayo? Ukienda mkoa wangu wa Rukwa ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wanabodi JF! Nikionacho Mimi, Hii drama ya mtu na shemeji yake Ni mbinu ya CCM kuwapoteza CHADEMA na wafuasi wake kuhusu sakata la Mbowe na Katiba Mpya! Ikumbukwe kuwa baada tu ya...
2 Reactions
59 Replies
6K Views
Dar es Salaam. Hatima ya shauri la kupinga tozo za miamala ya simu lililofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) itajulikana Septemba 8 pale Mahakama Kuu itakapotoa uamuzi wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu zoezi la haya machanjo lianze, wajuvi tuliona kuna usanii mwingi na maigizo ndani yake. Ukiachana na kituko cha wale manesi bandia walioshika sindano kama penseli tena bila gloves na...
19 Reactions
91 Replies
10K Views
Na Peter Mwaihola Tafsiri Isiyo rasmi inabainisha Uongozi kuwa ni kuonyesha namna ya kufanya kitu, jambo kama vile kuonyesha njia. Dhana ya Uongozi ilianza Miaka ya zamani Sana kutoka enzi za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya miaka kadhaa, leo nimeingia na kuwemo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba kikazi. Katika kupitiatia nyaraka za haraka zisizo na baraka, nikanusa ufisadi ndani ya chama changu pendwa. Ni ufisadi...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Teyari tumesikia taarifa juu ya Rais Samia kukutana na viongozi wa vyama vya siasa hapa nchini katika siku na tarehe ambayo bado haijawekwa wazi kwa umma huku mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Bwana...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Leo nimemsikia katibu wa uenezi CCM bwana Shaka akijaribu kupotosha kuwa Rais mteule wa Zambia katoa somo kwa wapinzani. Napenda nimkumbushe bw shaka rais mteule wa Zambia wakati wa uchaguzi chama...
19 Reactions
31 Replies
3K Views
Katika utafiti nilioufanya kwa kutumia data za kuanzia 2010 hadi 2020( Monthly) nikitumia VECM model, zimeonesha deni la taifa linaiweka nchi katika hali ya kuingiza Economic Shocks kutoka nje ya...
1 Reactions
0 Replies
723 Views
Salama Wakuu! Kwa jinsi mambo nilivyoyakuta na yalivyosasa kuhusiana na Siasa za nchi hii, nadiriki kusema kuwa CHADEMA bado Sana katika kuchukua nchi. Nimeanza kufuatilia Siasa mwaka 2005...
9 Reactions
79 Replies
4K Views
IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Ninachokiona ni kwamba watu hawajaweza kufikiri na kutafakari kwa umakini na wengi pia wanashindwa kutambua ikiwa ni habari zipi za kuamini kwani habari ni nyingi za uongo na uzushi ambao...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita, niliongelea swala la kuwataka CHADEMA kujiepusha na matumizi ya neno "chama kikuu" cha upinzani nchini kwasababu mbalimbali mojawapo ni katika kuimarisha upinzani nchini na...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Back
Top Bottom