Inakuwaje kila RC anayepangiwa Ruvuma agenda ni ukosefu wa soko la mahindi? Kuna haja gani kuwanadili kila mara?

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,791
3,360
Leo TBC 1 Tv,nimeona Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma amezungukwa na magunia ya mahindi,hakuna soko.
Hii inaashiria nini endapo aliyekuwepo mambo yalikuwa hayohayo? Ukienda mkoa wangu wa Rukwa ni yaleyale.
Tunakosaje sera endelevu ya soko la mahindi Kitaifa?
 
Mods; sahihisha ni "kuwabadili" na siyo kuwamanadili.
 
Leo TBC 1 Tv,nimeona Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma amezungukwa na magunia ya mahindi,hakuna soko.
Hii inaashiria nini endapo aliyekuwepo mambo yalikuwa hayohayo? Ukienda mkoa wangu wa Rukwa ni yaleyale.
Tunakosaje sera endelevu ya soko la mahindi Kitaifa?
60 years of CCM. Mkulima anazidi kuwa masikini. Unategemea nini? Nchi nyingi mkulima ni tajiri isipokuwa Tanzania. Jiulize ni kwa nini?
 
Back
Top Bottom