Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania tunaonekana wajinga ,hizi tozo inatukandamiza ,kutoa elfu 50,000 au labda umemtumia mwanafunzi au mgonjwa yaani inakatwa 4750 hela ambayo hii serikali ya CCM imeharibu Bei ya mazazo...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimepitia maandishi mbali mbali katika nyakati tofauti tofauti, nimetambua ukimya ni hekima kubwa na jibu la mjinga hongera sana Mh Doto Biteko kwa jibu hilo maana nimejifunza hekima hiyo kutoka...
0 Reactions
0 Replies
43K Views
Wewe waziri wa afya kama daktari msomi mpaka leo dunia nzima ilikushangaa sana pale ulipokaa mbele ya kamera za wanahabari ukajifukiza na kisha kunywa mchanganyiko wa malimao, tangawizi na...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu. Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND...
10 Reactions
80 Replies
7K Views
Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo...
5 Reactions
70 Replies
6K Views
Najua nafasi katika Kanisa Anglican jimbo la Tanzania na hususani Dayosisi ya Dar es Salaam ndio maana nakuomba sana mh Prof Kabudi utusaidie kumng'amua aliyeuza kiwanja cha Kanisa kule Buza ili...
0 Reactions
34 Replies
48K Views
Habari wana Jamìi Forum popote mlipo. Nilitaka tu kumpa ushauri wa bure Askofu Gwajima kwasababu naona huko anakoelekea atakuja kujuta. Nilianza kuona viashiria tangu wiki za nyuma baada ya watu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna chama nchini kimekua kikitumiwa kugawa Watanzania kijiografia na kitabaka. Nasema kinatumiwa kwa sababu umoja wa watanzania umekua kikwazo kikubwa kwa wale wenye nia ya kuligawa taifa kwa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Kabla sijasahau, let me remind my government that mobile money businesses are dying. Namaanisha vile vibanda. Baada ya hapo naomba nimpe shikamoo mama yetu. 1. Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa wa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nafasi ya uwaziri, tena wa Afya ni eneo sensitive sana, tena kwa kipindi kama hiki ni more sensitive. Kwa kipindi hiki cha mgawanyiko mkubwa wa mitazamo kuhusu chanjo kwenye taifa letu,sio...
9 Reactions
55 Replies
5K Views
Tulijawa na matumaini ya kusonga mbele na kurekebisha makosa yaliyofanyika. Tatizo likaanza kwa kiongozi wetu kuamini anastahili kuunda serikali upya. Kila kitu kipya. Akatikisa mawaziri ili...
1 Reactions
5 Replies
924 Views
Nipashe inaripoti kuwa waziri wa afya Dorothy Gwajima amesema amewaandikia polisi barua ya kukamatwa kwa mchungaji josephat Gwajima. Hii ni baada ya IGP kusema kuwa afuate hatua za kisheria Soon...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Mwananchi wangu wa Kakonko ambae,alikua ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nyang'wale Ndugu yangu Carlos Gwamagobe ameswekwa Rumande kwa Wizi na wenzake 5. Carlos namfahamu vizuri maana niliwahi...
9 Reactions
39 Replies
11K Views
Salaam Wakuu, Aliyekuwa Mkurugenzi wa Temeke Lusubilo Mwakabibi na Edward Haule, Wamefikishwa Mahakamani Kisutu asubuhi hii. Hatua hii imekuja baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa siku...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria...
33 Reactions
97 Replies
12K Views
Nikupe mfano, muagize mtu wa "kawaida" ambaye muonekano wake ni wa kawaida yaani asiwe kama ofisa flani hivi aende duka maarufu hapa Mwanza linanoitwa Mwanza Huduma: wanauza vifaa vya ujenzi...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Matajiri wajanja wametusukumizia kodi za majengo yao wanayowapangisha wageni tuzilipe sisi ambao hata bei ya tofali hatuijui. Wajanja hawa kama wangekuwa na nia nzuri na sisi masikini wangeweka...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndoa kati ya kampuni za mitandao ya simu na serikali inayohusu tozo kwenye miamala mbalimbali inayofanywa kwa njia ya simu, pamoja na ndoa kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Shirika la...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Waziri wa mawasiliano Dkt. Faustine Ndugulile amesema Rais Samia amewaagiza waziangalie upya tozo za miamala ya simu hivyo wananchi kuweni na subiri ufumbuzi utapatikana soon. ===========...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwamba tangazo limetoka kuwa mrudishe vyeti vya usajili vya kudumu mpewe vya miaka mitano mitano! Hamjashtuka bado? Mpo usingizini bado? Mkiamka mtakuta mmefutwa. Serikali inaona njia rahisi ya...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom