Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,229
Watanzania tunaonekana wajinga ,hizi tozo inatukandamiza ,kutoa elfu 50,000 au labda umemtumia mwanafunzi au mgonjwa yaani inakatwa 4750 hela ambayo hii serikali ya CCM imeharibu Bei ya mazazo ,tozo ya hela thamani yake ni kilo 4 za unga wa dona au sembe ,kilo maharage nusu , au robo tatu ya nyama ya ng'ombe .
Hivi kwenye hii sakata lazima chadema waseme ?kwani wapinzani ndo wanakatatwa hizo tozo tu?unaposema tozo ya uzalendo tunajuaje mnapeleka kwenye uzalendo kwani ufisadi wa gharama gani ulifanywa kwenye hii nchi ?.
Kwahiyo Sasa hivi serikali ya CCM imeona Kodi za utalii na mbugani hazitoshi,kodi za biashara hazitoshi na Sasa wanataka kila mwananchi mwenye simu alipe kodi?.
Watanzania tumekuwa wajinga kila kitu chenye mantiki basi tunaweka kwenye mantiki za kisiasa ,au kwahiyo we mwenye cheo CCM unafaidika na ccm huna huruma na wenzako?
Tunakoenda hata hata tendo la ndoa na mke wako utalipia Kodi.
Hivi CCM hamna huruma kwa wananchi mbona mnatuongezea gharama za maisha na hampunguzi gharama za maisha?
Watanzania tuna maisha magumu Basi watu kina Mwigulu na Ndugulile wanaamua tu kutuumiza kwa tozo na vifurushi vya simu.