Siasa safi hujenga heshima na thamani ya utu

Alphanga

New Member
Aug 19, 2021
2
0
Nimepitia maandishi mbali mbali katika nyakati tofauti tofauti, nimetambua ukimya ni hekima kubwa na jibu la mjinga hongera sana Mh Doto Biteko kwa jibu hilo maana nimejifunza hekima hiyo kutoka kwa Mzee Msogo baba yetu mstaafu wa awamu 4 Jk.
Siku moja alihutubia Taifa na kusema

"Siokwamba sioni au sisikii mnayo yasema la’hasha nayaona na kusikia lakini sioni sababu ya kumjibu mtu ,watu, nao wazidi hawawezi kufanya chochote"

Hongera sana Mh Doto Biteko kwa jibu hilo la hekima na busara japokuwa uongo ukisemwa sana unaweza kugeuka kuwa ukweli maana uongo ndio ukweli pekee utakao simama endapo ukweli ukifungwa pingu.

Mh Dotto Biteko umetengeza heshima kubwa kwa taifa na vizazi vijavyo kwa kuwa mzalendo tunajua huwezi kuwa waziri wa madini maisha yako yote wanao hangaika kukuchafua lazima watambue Mungu ndie kakuweka hapo ulitumikie Taifa kwa kwa maslahi ya taifa na vizazi vijavyo wasipo ona umuhimu wako leo ipo siku ata mawe yatasema Hongera sana Mh Doto Biteko kwa jibu lako la ukimya

Tanzania ni Taifa letu sote lakini ni wazalendo wachache ndio watalinda rasilimali zetu Tuna imani na Raisi wetu mpendwa Mama Samia Suluhu .
 
Back
Top Bottom