Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa. Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi...
14 Reactions
73 Replies
6K Views
Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Nashindwa hata kuelewa kama ni kudeka au ni kutaka kudeka... kabla ya Rais Magufuli watu walilalamika sana na kutaka Rais mkali asiyecheka cheka, na mtu ambaye aliwaambia mapema kabisa kuwa yeye...
27 Reactions
88 Replies
5K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Husein Ali Mwinyi amewaongoza viongozi, wanachama wa CCM na wananchi mbali mbali katika Mazishi ya aliyekuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais Samia amemteua Prof. Eleuther Anthony Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE). Uteuzi umeanza Juni 7 Pia amemteua Dkt. Neema Bhoke Mwita kuwa mjumbe wa Baraza la...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Kwenye hii video fupi sana hapa chini Rais Samia anaonekana kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi nchini na kutoa maagizo kadhaa kwa IGP. Miongoni mwa maagizo aliyotoa Rais kwenda kwa IGP...
20 Reactions
93 Replies
8K Views
Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa...
12 Reactions
210 Replies
19K Views
Watu ni wengi, wengi wengi mno sijajua kama tahadhari za Corona alizotangaza RC Makala kama zinazingatiwa ama la. Aisee watu ni wengi mno na wamebanana sana sijajua kama kikao cha kamati kuu ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hizo organs nilizozitaja hapo juu; Majeshi Vyombo vya usalama Deep state Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo. Kama mnaona hampo...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Usipende sana mama kufanya jambo ili kuwafurahisha hawa jamaa utaambulia failure. Tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu ndani yao hakuna nia njema. Baba yao ni baba wa uongo kama inavyojulikana...
10 Reactions
38 Replies
5K Views
Na Abubakari Akida, MOHA Serikali imewataka abiria wanaosafiri mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya UVIKO -19 huku wakiaswa kupaza sauti zao pindi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ili tuweze kufikia lengo la bima ya afya kwa wote ni vizuri NHIF ilipwe kupitia LUKU na hii itaondoa malalamiko yaliyotokea, hapa je, wenye mijengo ambao ni pamoja na watunga sheria watakubali?
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Kama mkuu wa polisi anakiri hadharani kuwa jeshi analolisimamia linatumia nguvu ya ziada basi ni wazi kuwa jeshi analosimamia huwa linafanya kazi kinyume cha sheria. Ni nguvu gani ya ziada...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nifahamuvyo mimi kila zama na kitabu chake Kinachoendelea nchini kutoka jeshi la polisi na wanasiasa waliojificha nyuma yao kwa kuwabana wapinzani wao katika siasa ni kutaka kuendeleza ya hayati...
0 Reactions
3 Replies
900 Views
"Sisi NCCR-Mageuzi tunatoa pole kwa polisi waliouawa juzi, tunatoa pole za dhati kwasababu ni binadamu, wametoa uhai wao. Tunatoa pole kwa familia ya Hamza pia kwasababu huyu ni binadamu...
11 Reactions
23 Replies
4K Views
Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake...
22 Reactions
72 Replies
8K Views
Je, ni akina nani wanaomhujumu Samia? Axis of Evil AKA timu dhalimu mwendazake!?
10 Reactions
144 Replies
11K Views
Hata kama kweli Watanzania ni Wajinga kuliko hata wanyama wa mwituni , lakini hii ghiliba ya Jaji Mkuu na IGP kujitokeza sasa na kujifanya hawakujua uchafu unaotendwa Mahakamani na uchafu...
20 Reactions
45 Replies
5K Views
Nini hasa kinachopaswa kuchunguzwa ktk ugaidi wa ule uliofanyika mchana kweupe ktk ubalozi wa ufaransa: 1. Ni je kuchunguza chanzo cha ugaidi ule? 2. Ni je kuchunguza chain ya ule ugaidi? 3. Ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Dunia duara na wengine husema dunia mzunguko. Walikuwapo kina Mandela, Kenyatta, Nyerere hata huyu wa Zambia. Katika harakati zao wakajitanabaisha ana kwa ana na watesi wao hadi jela zikawahusu...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…