Kuna SHERIA inaitwa: Judiciary Administration Act ya 2011. Ina weka wazi MAMLAKA ya Chief Court Administrator. Hana MAMLAKA ya kuingilia kazi ya kutoa HAKI au MAGEREZA! Mahakama iliamua kuweka...
Ilikuwa ni pale Moshi ambapo mashuhuda walidai wakati wanakimbilia getini ili watoke nje kuna watu waliwazuia na walipoanguka chini walipigwa mateke na makofi.
Muhujumu wa mkutano ule wa Injili...
Hii nchi ukikaa ukatafakari inavyoendeshwa unaweza kufa kwa sukari kupanda, presha ya kupanda na kushuka, kifadulo na stress aka muhaho
Gwajima anakoelekea ni kushika shika sharubu za mihimili ya...
Msanii maarufu wa katuni ameendelea na juhudi zake za kuwapambania wanyonge wa nchi hii.
Hapa chini ni kibonzo ambacho kinatoa picha halisi kinacho endelea nchini mwetu.
Tukio la kujinyonga la kijana wa CHADEMA kutokana na tofauti za KISIASA na mama yake mzazi ambae Ni CCM
Chuki za KISIASA na UHASAMA baina ya mama na mtoto umepelekea kifo
Najaribu kujiuliza huyu...
Habarini wandugu,
Nimekaa nimewaza kuhusu haya makanganyiko yanayoendelea kuhusu hii kodi mpya,
Wengi tumejikita kuuliza kuhusu wapangaji kumlipia mwenye Nyumba basi.
Binafsi naona kuna shida...
Huu ni Uzi wa tathimini yangu juu ya yanayoendelea kwa ujumla katika saga la Waziri na Askofu Gwajima.
Siku zote CHADEMA wamekuwa wakiwaomba viongozi wa dini kukosoa na kuikemea Serikali ya CCM...
Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,
watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza...
Ukimsikiliza Gwajima Me ana hoja zake na Gwajima Ke ana hoja zake. Kikatiba wapo sawa. Na pia kwa Tamko la Rais. Wapo sawa. Chanjo ni Hiyari. Kwa nini?
Ndio maana Serikali inatujazisha fomu kuwa...
Watu hawa tumewadekeza sana na wanazidi kuwa wezi na mafisadi siku hadi siku.
Mwinyi alikuwa na matatizo ya kuuza Loliondo bila aibu na maeneo ya wazi Dar yakachukuliwa. Mkapa akauza viwanda...
Ndugu zangu nawasalimu Kwa jina la Jamhuri kazi iendelee. Naomba kutoa Mambo ambayo nimeyabaini
1. Rais Samia amekabidhiwa nchi huku akiwa hafahamu aanzie wapi na aiishie wapi
2. Marehemu...
Wakati akipokea ripoti ya Tume ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2020, hapo tarehe 21 mwezi huu, Ikulu jijini Dar, nilimsikia Rais Samia Suluhu Hassan, akielezea dosari...
Mkoa wa Songwe ni mojawapo ya mikoa inayopatikana kusini mwa Tanzania. Moa huu ulipatikana baada ya kugawanywa mkoa wa wa mbeya. Maaajabu ya mkoa ni kuwana miundo mibovu ya barabara. Mfano...
Sio mara moja wala mara mbili, watu wamekua wakiwalinganisha viongozi (Rais) na wazazi nyumbani. Kwa sasa Rais anaitwa mama na anayoyafanya kama vile afanyavyo kwa wanawe.
Imefika mahali hata...
Nchi ya Zambia ilimpata Rais wake wa kwanza mwaka 1968 mzee Kaunda akitokea chama cha UNIP, na baadae wakafuata marais wengine kama 7.
Fredrick Chiluba
Levy Mwanawasa
Rupia Banda
Michael Sata
Guy...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema...
Dar es Salaam.
Wakati wananchi wakiendelea na kilio cha tozo ya miamala ya simu ambayo ina takribani mwezi mmoja sasa, Serikali imesema bado inalifanyia kazi suala hilo na likikamilika majibu...
Wakuu, nimeisaka hii story hapa JF sijaiona; lakini inaweza kuwa mojawapo ya reference siku za usoni:
20/08/2021
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema tozo mbalimbali...
Video imebeba ujumbe wote.
Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT...
Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.