Rais Samia afanya teuzi za Mwenyekiti CBE na Mjumbe Baraza la Ushindani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,007
9,873
Rais Samia amemteua Prof. Eleuther Anthony Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE). Uteuzi umeanza Juni 7

Pia amemteua Dkt. Neema Bhoke Mwita kuwa mjumbe wa Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal). Uteuzi unaanza Juni 8, 2021

Dkt. Mwita amechukua nafasi ya Dkt. Theodora Nemboyao Mwenegoha ambaye ameteuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu ya Tanzania
WhatsApp Image 2021-06-08 at 6.20.17 PM.jpeg
 
Rais Samia amemteua Prof. Eleuther Anthony Mwageni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE). Uteuzi umeanza Juni 7

Pia amemteua Dkt. Neema Bhoke Mwita kuwa mjumbe wa Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal). Uteuzi unaanza Juni 8, 2021

Dkt. Mwita amechukua nafasi ya Dkt. Theodora Nemboyao Mwenegoha ambaye ameteuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu ya Tanzania
View attachment 1812588
Saaafi sana Rais Samia, kazi iendelee
 
Nina swali?
Tz ni maskini au Tajiri?
Hii mishahara hii
Wadanganyika mnadanganyika kweli kweli
 
Kumbe kulikuwa na Vita kubwa Mama asiwe Rais?. Hata hivyo Mama ana Utu Sana kumwacha nyoka Bashiru.Hii Vita ya eti Majambazi yamezidi waasisi ni hao hao waliotaka Mama ajiuzulu ili apewe mwingine waliemtaka.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nimefurahia this time hajateua wengi... Safi sana Raisi Majitu yamekaa yanasubiri uteuzi tu kazi hayataki... Enzi za Magu ndio ingekuwa hivi...
 
Haka kamama

Sanasana toka kashike kijiti cha mwendazake
Kanafanya Ziara na Kufanya Teuzi.
Iwe iwavyo... yeye ndiye rais na hapangiwi... au kwanini wewe usiwe rais badala yake? Je kukosa kwako fursa ndio iwe kero kwa majirani? Aaaah kumbe na nyie mpo!!
 
Back
Top Bottom