Maisha ya watu 5 wakiwamo wasiokuwa na hatia yamepotea jana, wengine wakijeruhiwa.
Haya yakitokea katika kinachosemekana kuwa ni mwendelezo wa matukio ya dhuluma tokea kwa watu wenye dhamana ya...
Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi.
Kama ni issue za...
Bakwata imempongeza Rais Samia kwa kusikiliza kilio cha wananchi kufuatia bunge kupitisha tozo ya miamala ya simu ambazo zinaumiza wananchi maskini.
Bakwata imemuomba Rais Samia azifutilie mbali...
Serikali ya Marekani inayoongozwa na Rais Donald Trump imefurahishwa na utendaji wa serikali ya awamu ya 5 na imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kijeshi.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na...
PICHA: Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi
Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi ameagiza mapadri wote wa jimbo hilo kupata...
Waziri wa Utumishi mh Mchengerwa amesema serikali inaipongeza Bakwata kwa kutia mafunzo ya uongozi kwa waumini wake kwa njia ya Tehama iitwayo Bakwata Online Academy
Kadhalika Mchengerwa ameimba...
Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya...
Nachukua fulsa hii kumpongeza mama kwa kazi kubwa anazo zifanya kwa taifa hili tena ukizingatia amepokea kijiti kama mpira wa krosi ya kubabatizwa, lakini anajaribu kuutuliza mpira utulie hili...
Salaam JF
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi kudumisha na kuuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuwahakikishia wananchi wa...
"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"...
Kesi za ugaidi au kumtuhumu mtu kwa kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi ikiwemo kuua viongozi ni jambo kubwa sana.
Hata ile kuwatuhumu watu fulani katika jamii kuwa wanapanga kutekeleza...
MITAGATO AMTUMIA WARAKA ASKOFU, AELEZA JINSI ALIVYOSHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA SIKU 11 PASIPO KUFUNGULIWA MASHTAKA MAHAKAMANI
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Nashukuru kushiriki kunipazia...
Nimemshuhudia kijana askari akiwa kwenye vazi la kiraia aliyethubutu kusogea in a close range na ku-risk maisha yake katika kukabiliana na gaidi hili.
Yule kijana anahimili risasi ya gaidi na...
Bandugu,
Wahenga walisema, "Aombae hupewa". Juzi tu viongozi wetu wa juu kabisa waliiombea Tanzania ugaidi kwa kusingizia wapinzani wao wa kisiasa kuwa ni magaidi. Na kuwakamata na kuwasweka...
Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi.
Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na...
Abidjan. Ivory Coast
Katibu Mkuu ,Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Zainabu Chaula pamoja na Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na...
Leo hii wasanii wa vyombo vya habari vya kimataifa wametoa vibonzo mbali mbali kuhusu hali ya maisha ya mtanzania.
Mojawapo ni msanii wa kituo cha radio cha ujerumani yaani DW.
Hapo chini ni...
Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.