Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania...
11 Reactions
40 Replies
4K Views
Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja mkoa wa Kipolisi wa kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Mungu atunusuru, hata kama ni kulinda maslahi ya watawala basi isitufikishe hapa. Huyu ni Askari Polisi akiwa na nguo za kiraia akiwa amemkanyaga shingoni mwananchi ambaye amevaa fulana yenye...
11 Reactions
147 Replies
13K Views
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
2 Reactions
112 Replies
9K Views
Akizungumza kwenye Ibada ya mazishi ya marehemu Johara Mtei , ambaye ni Mama Mkwe wa Freeman Mbowe , Aliyeko gerezani kutokana na kesi ya uzushi ya Ugaidi , amesema hata kama siasa ni mchezo...
14 Reactions
56 Replies
6K Views
Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
Kitendo cha kukataa kiti na microfone alipohudhuria mbele ya kamati ya maadili ya bunge siyo cha kupuuzwa na kufanywa kitu kidogo, 1. Gwajima ana mashaka na wajumbe wenzake wa bunge? 2. Gwajima...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amezungumzia mvutano uliojitokeza kati ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili tukio limetokea katika kipindi ambacho kuna tuhuma fulani fulani kwa mtu/watu fulani hivyo nawaza mengi sana. Teyari mitandaoni kuna madi kuwa yule mtu alieuwa alikuwa anatamka maneno...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu. Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari...
10 Reactions
107 Replies
11K Views
Bwana Yesu apewe sifa! Kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge leo itaendelea kumuhoji askofu Gwajima kwa tuhuma za kusema uongo na kulivunjia bunge heshima. Je, Askofu Gwajima atakwenda na...
9 Reactions
55 Replies
5K Views
International Finance Corporation (IFC) leo Juni 24, 2021 inazindua Ripoti ya 'Wanawake Wanaoongoza katika Huduma za Fedha: Uchunguzi wa Usawa wa Kijinsia katika Sekta ya Huduma za Kifedha za...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wadau! Jana nimeweza kulipa kodi ya jengo kupitia simu ya mkononi baada ya kununua umeme kupitia luku yangu. Binafsi naipongeza sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
52 Reactions
382 Replies
32K Views
Michael Battle is an educator, religious leader, and diplomat. Born on July 28, 1950, in St. Louis, Missouri, he was one of twelve children from Jessie Battle Sr., a Pentecostal pastor, and Mary...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
"Naomba niweke wazi wananchi wasiwe na taharuki nyumba za Vijijini haziko katika mpango wa kutozwa kodi ya majengo vile vile nyumba zilizojengwa kwa vifaa ambavyo sio vya kudumu kama zile udongo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wengi mnajua jinsi Spika Job Ndugai alivyokuwa 'akiwashughulikia' Wabunge wa Upinzani wakati ule wa Mwendazake. Alikuwa akitimiza agizo la 'kuwashughulikia' wapinzani ndani ya Bunge huku kazi ya...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Tozo la miamala limepitishwa na bunge, kwa unyonge tunaishi nalo. Kero ikiyopo ni ucheleweshwaji wa miamala mpaka wakate tozo lao. Wengi tunatumia njia mbadala kutuma pesa ingawa zina usumbufu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi JK na CCM hamuoni hata aibu kwenda Zambia kuangalia wenzetu walivyopiga hatua kuhusu demokrasia yao ya vyama vingi na kuheshimu maamuzi ya wananchi wao? Yaani Makada wa CCM mmejaa kwenye...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom