Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mabounsa wakimzuia Devota Minja(Chadema) kurudisha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Morogoro mjini mwaka 2020. Kwa haya Tanzania ni Taifa la aibu na laana.
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Serikali imetoa kibali cha kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuajiri askari polisi wapya 3103 mchakato ambao unaendelea kwa sasa kwa askari hao kuajiriwa kwa kuzingatia vigezo na masharti ya...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
TUNALAANI VITENDO VYA UDHALILISHAJI KIJINSIA VILIVYOFANYWA NA POLISI HANDENI, TANGA. Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya baadhi ya Askari wa Jeshi la...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi ni sababu zipi zinazofanya Serikali ishindwe kuwaendesha EWURA? Kwasababu naona kila kitu wanajipangia wao tu. 1. Bei za mafuta wanajipangia wao tu watakavyo 2. Kuajiri wanajiajiria...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Taarifa ya Kamati ya haki, maadili na Madaraka ya bunge iliungwa mkono na Spika wa Bunge kabla ya kuanza kujadiliwa na bunge (baada tu ya Mwenyekiti wa kamati kutoa hoja). Tafsiri ni kuwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeona mahali tangazo lao kuhusiana na jambo hili , hebu lisome mwenyewe
3 Reactions
36 Replies
55K Views
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa...
31 Reactions
124 Replies
11K Views
FRIDAY SEPTEMBER 03 By Julius Mnganga Bunge ni mhimili muhimu wa Serikali, ambalo hukutanisha wawakilishi wa wananchi kutoka Tanzania nzima. Ni sehemu pekee ambayo wajumbe wake wanawakilisha...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti...
28 Reactions
127 Replies
11K Views
Kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa watatu akiwemo afisa wanyama pori (KDU) ,Jonson Kadengele(34)Mkazi wa Njiro imeanza kusikilizwa katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha, ambapo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swala hili la chanjo. Mzee Makamba anasema baadhi ya...
15 Reactions
130 Replies
12K Views
Mungu ni mwema wakati wote! Nawauliza tu wale wote wanaomtetea Hamza Mohamed ambaye polisi imethibitisha alikuwa na viashiria vyote vya kuwa Gaidi Gaidi Osama bin Laden alikuwa mtu mwenye tabia...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
kwakweli huu ndio ukweli mchungu, asilimia kubwa sisi ni wezi na kila mmoja huiba kwa nafasi yake, mimi nimefanya hata kazi kwenye mashirika ya kimataifa wenye vyeo vya juu kule ni watu wa...
14 Reactions
40 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi leo imeanza kusikilizwa mahakama kuu...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Iringa mjini mwama 2020 Steven Mengele aka Nyerere amewaonya baadhi ya wanachama wa CCM waliojipanga kuanzisha chama kipya kuachana na mpango huo mara moja Nyerere...
11 Reactions
84 Replies
8K Views
Mahakama Kuu Division ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa Leo Septemba Mosi, 2021 imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Mawakili wa upande wa utetezi, juu ya Mahakama hiyo kuwa na uwezo...
6 Reactions
92 Replies
9K Views
Usiku huu nimeshindwa kuomba! Nimejikuta nikitokwa na machozi! Si machozi ya huzuni wala si machozi ya furaha! Ni machozi ya mshangao nikimshangaa Mungu! Nilikuwa nikitaka kuwaombea baadhi ya...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Tarehe 2 Aug 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mmoja...
8 Reactions
46 Replies
8K Views
Tanzania chini ya uongozi wa Chadema hapo 2025 ni kuongoza nchi kama nchi tajiri nambari one duniani,haya matozo ya ajabu ajabu haya yote yanaondolewa. Utajiri uliopo Tanzania unashinda utajiri...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Kumekuwa na tuhuma nyingi zikielekezwa Jeshi la Polisi kuhusu kubambikiza kesi, kunyanyasa raia ambao ndio wanapaswa kuwalinda, utesaji wa watuhumiwa hadi wengine kuuwawa, kama ilivyotokea kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…