Nawauliza mnaomtetea Hamza, Kwani gaidi Osama bin Laden alikuwa ni mtu mbaya kwenye jamii ya kawaida?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,108
Mungu ni mwema wakati wote!

Nawauliza tu wale wote wanaomtetea Hamza Mohamed ambaye polisi imethibitisha alikuwa na viashiria vyote vya kuwa Gaidi

Gaidi Osama bin Laden alikuwa mtu mwenye tabia mbaya kwenye jamii ya kawaida inayomzunguka?

Hata kule Chunya naomba majawabu yenu.

Jumaa kareem!
 
Kwani John uliwahi kumfahamu, na je tabia yake uliionaje?
 
Mungu ni mwema wakati wote!

Nawauliza tu wale wote wanaomtetea Hamza Mohamed ambaye polisi imethibitisha alikuwa na viashiria vyote vya kuwa Gaidi

Gaidi Osama bin Laden alikuwa mtu mwenye tabia mbaya kwenye jamii ya kawaida inayomzunguka?

Hata kule Chunya naomba majawabu yenu.

Jumaa kareem!
Na wewe usituchoshe na mathread yako ya kipumbavu ya kulipwa 7,000.
 
Osama alizulumiana na Wamarekani baada ya kuwapigia Kazi nzuri afghanistan ya kuwafurusha warusi akishirikiana na kundi la taliban,ugomvi wake akaamua kujifichia kwenye dini,maana kupitia dini ni rahisi kuwabrainwash watu waliovurugika akili.
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini bali dini ni kichaka rahisi sana cha kupata wapiganaji.Ugomvi wao ulikuwa ni personal interest na sio religion interest.
 
Osama alizulumiana na Wamarekani baada ya kuwapigia Kazi nzuri afghanistan ya kuwafurusha warusi akishirikiana na kundi la taliban,ugomvi wake akaamua kujifichia kwenye dini,maana kupitia dini ni rahisi kuwabrainwash watu waliovurugika akili.
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini bali dini ni kichaka rahisi sana cha kupata wapiganaji.
Wewe ndio unajua siyo yule msukuma original wa machame!
 
Mungu ni mwema wakati wote!

Nawauliza tu wale wote wanaomtetea Hamza Mohamed ambaye polisi imethibitisha alikuwa na viashiria vyote vya kuwa Gaidi

Gaidi Osama bin Laden alikuwa mtu mwenye tabia mbaya kwenye jamii ya kawaida inayomzunguka?

Hata kule Chunya naomba majawabu yenu.

Jumaa kareem!
Hamza hatetewi bali anapongezwa kwa ushujaa uliotukuka kupambana na ugaidi wa udhulumaji.
 
Back
Top Bottom