Steve Nyerere awaonya wana CCM wanaojipanga kuanzisha chama kipya kuacha hizo chokochoko mara moja

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,893
141,827
Mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Iringa mjini mwama 2020 Steven Mengele aka Nyerere amewaonya baadhi ya wanachama wa CCM waliojipanga kuanzisha chama kipya kuachana na mpango huo mara moja

Nyerere amesema anaujua mpango mzima na kwamba muda ukifika atawaumbua mchana kweupe.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Wakati Sitta na wenzake walitaka kuanzisha chama,watu wengi wakaingilia. Safari hii wakianzisha Chama kipya,hakuna mtu ataingilia,itakuwa " mtu mbili'.

Mtu hana haki kuanzisha Chama kipya ,hana haki,unless kama anafikiria Chama kinapoteza mwelekeo.
 
Mgombea ubunge wa CCM jimbo la Iringa mjini mwama 2020 Steven Mengele aka Nyerere amewaonya baadhi ya wanachama wa CCM waliojipanga kuanzisha chama kipya kuachana na mpango huo mara moja

Nyerere amesema anaujua mpango mzima na kwamba muda ukifika atawaumbua mchana kweupe.

Mungu ni mwema wakati wote!
CCM hakuna kazi jamani?
 
Dunia umefika patamu,
Hadi huyu Mataga anakuwa msemaji wa chama.
 
Back
Top Bottom