Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna masuala kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuelewa maana ya safari hii ya Rais Samia kuelekea nchini Urusi. Kwanza, hii ni safari yake ya kwanza nje ya Afrika tangu kuanza awamu yake ya pili...
0 Reactions
4 Replies
178 Views
Anaitwa Simai Mohammed Said. Awali alikuwa Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa Jimbo la Tunguu (CCM). Baadaye Rais Samia akamteua kuwa Mbunge (wa kuteuliwa) wa Jamhuri ya Muungano wa...
4 Reactions
5 Replies
354 Views
Kwema Nimefurahi sana yaani ni reaction ya kupendeza na wamependeza sana furaha yangu haiwezi kuisha milele na milele. Kila kitu kitaenda sawa kwenye taifa letu, Samia anaweza akatawala tena...
2 Reactions
29 Replies
311 Views
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar. Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja? Nawaza sana.
27 Reactions
166 Replies
3K Views
Tatizo la kujaza watu kwenye uongozi waliojaa uchawa na uzanzibari. Sasa Mama badala ya kusafiri nje kutafuta uwekezaji na technologia ili kukuza ajira na maendeleo anaenda Urusi eti kuwashukuru...
15 Reactions
15 Replies
416 Views
  • Redirect
Muda si mrefu ulio pita, Bunge la Ulaya limeaachia kisago kikali kwa kuondoa misaada kwa nchi ya Tanzania kwa mwaka 2026/27 kwa miradi yote. Bunge limepiga kura na wabunge 81 wakikubali kuweka...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila amekanusha madai kwamba ujenzi wa mtandao wa reli nchini utazifanya barabara kukosa kazi za kusafirisha mizigo. Akizungumza kwenye kipindi cha DK 45...
3 Reactions
14 Replies
306 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, ametoa wito kwa wananchi kuunga mkono chama chake ili kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kijamii nchini. Katika hotuba yake akiwa Lindi Juni 3, 2026...
1 Reactions
3 Replies
182 Views
  • Featured
Nimeshangaa kwenye mechi ya Serengeti boys na Senegal watu wanaimba nyimbo za kumsifia mama! Upande wa Senegal hawakuwa wakimuimba Rais wao Faye na wameshinda, Kenya huwa wanafanya vizuri sana...
29 Reactions
39 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara nchini Russia inayotajwa kuwa na umuhimu wa kihistoria kwa Tanzania na inafungua hatua mpya za ushirikiano wenye manufaa kwa wananchi wa pande zote mbili...
1 Reactions
5 Replies
227 Views
Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete akiuliza swali la nyongeza bungeni leo Juni 4, 2026.
0 Reactions
4 Replies
187 Views
  • Redirect
Hii nchi ya ajabu sana. Yaani kodi za wananchi zinatumika hovyo kwa ajili ya mambo ajabu. Walitaka kick za kisiasa kwa kutoroka bungeni. 👇
0 Reactions
– Replies
– Views
Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile...
20 Reactions
64 Replies
1K Views
Siku wakizeeka hawa wanaofanya siasa sahz ndipo Tanzania tutakuja kuwa na kizazi chenye siasa za malengo na kizalendo (functional politics) Kitakuja kizazi ambacho hakitataka kijue hata historia...
1 Reactions
5 Replies
134 Views
Waliposema "Who are you? wakaona wamelikoroga ilibidi watoe ufafanuzi, Ripoti ya Chande haikueleweka wakaitolea ufafanuzi. Wizara imetoa barua ya kutolea ufafanuzi hata huo ufafanuzi haujaeleweka...
10 Reactions
12 Replies
350 Views
IGP Wambura, pole sanaaaa , Ona sasaaaa, ona sasa Kuanzia CCM na Serikali yaaan awe Rais, Awe Wazir, awe Wasira , awe Katibu Asharose ........Wameamua kuimba Wimbk mmoja tu "JESHI LA POLISI...
3 Reactions
5 Replies
280 Views
Kuwa mwanaharakati ni tatizo maana unaowaamini nao wanawaamini usiotaka wawaamini! Mnahisi mnasogea kumbe mnarudishwa kinyume nyume!! Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya vituo 20 pekee vya Afrika...
3 Reactions
9 Replies
277 Views
Hamjambo Wote! 1. Katika siasa za kiroho, Spiritual politics, Yuda iskariote, ambaye amebeba uhusika wa kumsaliti Yesu Mnazaethi, nje ya sifa zake nyingine. 2. Dhima ya Yuda duniani ilikuwa...
2 Reactions
8 Replies
147 Views
Back
Top Bottom