Ustahimilivu wa Taasisi CHADEMA kama taasisi imejengwa kwenye fikra na misingi ya watu, hivyo haiwezi kufutwa kirahisi kwa kuwawajibisha au kuwakamata viongozi wake kwa tuhuma za kutunga.
Kuhama kwa Migogoro Inatahadharisha kuwa hata kama upinzani mkuu ukidhoofishwa, changamoto za kijamii, kiuchumi, na kisiasa zisipotatuliwa, migogoro na manung'uniko ya wananchi yataibukia kwingine (hata ndani ya chama tawala yenyewe).Na haya ndio yanayotokea sasa
Umuhimu wa Demokrasia
Huwa ni ukumbusho kuwa uwepo wa upinzani thabiti ni muhimu kwa ajili ya usawa, amani, na utulivu wa muda mrefu wa nchi
CHADEMA kwasasa ndio jasiri muongoza njia Tanganyika na Zanzibar