Chei chei
Ukinuna nuna ila hakikisha haujidhulu
Dua ni moja kwa moja URUSI.. alipo MAMA SAMIA SULUHU.. namuombea akamilishe salama majukumu yake ya kinnchi na arudi na afike salama Tanzania
Sio rahisi kwa anavyoipambania nchi kama hivi binafs namuombea kwa M/Mungu na namshukuru M/Mungu na namuomba amuongezee nguvu maradufu
Maneno na chuki nyingi za kumrusisha nyuma mara maneno ya hapa na pale lakini siku zote M/Mungu ndio mshindi
Amjaalie arudi salama na aendelee na majukumu yake Kama kawaida..
Chuki inaanza kukuumiza wewe kwanza na hata upendo ukimpenda mtu wewe utajipenda/kupendwa mara dufu
Ukimuombea dua mwenzako M/Mungu anaanza kukupa wewe kwanza
Taifa bila MAMA HAIWEZEKANI