Mmemsikia Mbunge wa Tunguu, Zanzibar Simai Saidi akitamka "Watanzania na Wazanzibari"? Hawa watu wanatafuta nini lakini?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
14,883
Reaction score
27,879
Nashangaa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Saidi akimwaga sumu zake kuwa kuna Yuda, ametumia kauli "wanachotaka Watanzania na Wazanzibar" na hakuna mbunge hata mmoja alieomba mwongozo toka kwa spika.

Hivi hawa watu wanatafuta nini lakini? Wee haya, mnachokitafuta kuna siku mtakipata na mtalia na kusaga meno, tutakapowapa mnachokitafuta, Tanzania na Zanzibari.

Unajua kuna watu wangapi nyuma ya yeyote huyo unaemuita Yuda? Kama Yuda ni wa Tanzania, inakuhusu nini wewe Mzanzibari? Aliekutuma kuwasemea Watanzania ni nani? Ukiona shida kuwepo na Yuda Tanzania rudi kwenu Zanzibar usituletee wendawazimu Tanzania.

Hata mbunge Shabibu anataka kuwa raisi wa Tanzania, sio Zanzibar, kwa hiyo haikuhusu.
 
Nashangaa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Saidi akimwaga sumu zake kuwa kuna Yuda, ametumia kauli "wanachotaka Watanzania na Wazanzibar" na hakuna mbunge hata mmoja alieomba mwongozotoka kwa spika.

Hivi hawa watu wanatafuta nini lakini? Wee haya, mnachokitafuta kuna siku mtakipata na mtalia na kusaga meno, tutakapowapa mnachokitafuta, Tanzania na Zanzibari.

Unajua kuna watu wangapi nyuma ya yeyote huyo unaemuita Yuda? Kama Yuda ni wa Tanzania, inakuhusu nini wewe Mzanzibari? Aliekutuma kuwasemea Watanzania ni nani? Ukiona shida kuwepo na Yuda Tanzania rudi kwenu Zanzibar usituletee wendawazimu Tanzania. Hata Shabibu anataka kuwa raisi wa Tanzania, sio Zanzibar, kwa hiyo haikuhusu.
Huko ndani ni pamoto balaa,
 
Huyo dogo, nilimsifu sana humu alikuwa shujaa wangu, kaharibu!. Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake? na makala gazetini nikamuandikia
View attachment 3600212
ila niliopo soma hii Mbunge Simai: Kuna yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

Ukimjua huyo mtu huyu jamaa aliyemuita Yuda, kiukweli huyu dogo Mhe. Simai, amechemka big time!.
Huyo aliyemuita Yuda, yeye hana matatizo, tatizo ni walio nyuma ya huyo Yuda!, Simai anajiingiza kwenye a very dangerous zone bila mwenyewe kujijua!, kusipotokea wenye busara, kumshauri, acheze mbali na anga za huyo Yuda!, take it from me, sasa hivi Mhe. Simai atageuka kuwa ni historia in no time!.

Nikajua dogo kachemka big time!.

P
 
Nashangaa Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Simai Saidi akimwaga sumu zake kuwa kuna Yuda, ametumia kauli "wanachotaka Watanzania na Wazanzibar" na hakuna mbunge hata mmoja alieomba mwongozotoka kwa spika.

Hivi hawa watu wanatafuta nini lakini? Wee haya, mnachokitafuta kuna siku mtakipata na mtalia na kusaga meno, tutakapowapa mnachokitafuta, Tanzania na Zanzibari.

Unajua kuna watu wangapi nyuma ya yeyote huyo unaemuita Yuda? Kama Yuda ni wa Tanzania, inakuhusu nini wewe Mzanzibari? Aliekutuma kuwasemea Watanzania ni nani? Ukiona shida kuwepo na Yuda Tanzania rudi kwenu Zanzibar usituletee wendawazimu Tanzania. Hata Shabibu anataka kuwa raisi wa Tanzania, sio Zanzibar, kwa hiyo haikuhusu.
Gentleman,
huna haja ya kubabaika na porojo za huyo mbunge.

Agenda ya taifa letu 2030-2040 ni Dr Emmanuel John Nchimbi. Full stop.

Mtu aimbe, alie, apige mayowe, aruke au akae, hayupo wa kuzuia agenda hiyo ya waTanzania wote 🐒
 
Leo hii Emanuel Nchimbi anaitwa yuda? Hakika Leo nimeanza kuamini yale maneno ya recho dangwa....ebu angalia hii video
 
Gentleman,
huna haja ya kubabaika na porojo za huyo mbunge.

Agenda ya taifa letu 2030-2040 ni Dr Emmanuel John Nchimbi. Full stop.

Mtu aimbe, alie, apige mayowe, aruke au akae, hayupo wa kuzuia agenda hiyo ya waTanzania wote 🐒
Ndo wameshaanza kumsagia kunguni. Uzuri britanicca alishampa onyo akae mguu sawa.
 
Leo hii Emanuel Nchimbi anaitwa yuda? Hakika Leo nimeanza kuamini yale maneno ya recho dangwa....ebu angalia hii videoView attachment 3600253
Fala nobody, junior kabisa anamtukana a sitting vice president bungeni na hakuna anayethubutu kumkaripia. Kweli nchi ni ya Wazanzibari na kipo kinachompa jeuri, kuna watu nyuma yake yeye hapo amepewa tu jukumu la kumvalisha paka kengele. Mitanganyika yote ndani ya bunge ni michoko.
 
Hawa kima tangu walipoua Watanganyika na kujimilikishe vyombo vya dola wanajiona kama ndiyo wakoloni wapya wa Tanganyika. Na wapuuzi wachache wanao wavimbisha vichwa vyao vya flat screen wakiendelea kuwaacha wawatukane Watanganyika, uhasama kati yetu na wao utaongezeka mara mbili kuliko ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom