Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayupo, hana uwezo au viongozi wa Chadema masalia hawamuamini? Kulikoni viongozi wa Chadema masalia ndio wanabwabwaja zaidi mambo ya kisheria zaidi ya mwanasheria mwenyewe? Kama yupo, sidhani...
2 Reactions
40 Replies
474 Views
Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza na waandishi wa...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Leo Machi 24, 2026 Mahakama ya rufaa itaanza kusikiliza maombi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ya kutaka yafanyike marejeo (revision) ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za Chama...
2 Reactions
7 Replies
367 Views
Habari za muda huu wana-JF, Kuna taarifa muhimu sana kutoka Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ambayo kila mwenye biashara, ofisi, au anayetumia CCTV nyumbani kwake anapaswa kuijua mapema...
22 Reactions
81 Replies
2K Views
Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea...
27 Reactions
610 Replies
39K Views
March 03, 2021 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Makazi William Lukuvi amekutana na Watumishi wa Jiji la Mwanza idara ya ardhi na wengine, Waziri Lukuvi akiendelea na kikao nje kukawa na...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa William Lukuvi Bado yupo kwenye mbio na mchaka mchaka wa kukimbizana na vijana kuutafuta ubunge, bado anaona kuna mambo bado hajakamilisha vizuri kwa wapiga...
6 Reactions
77 Replies
3K Views
MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: William Middle Name: Vangimembe Last Name: Lukuvi Member Type: Constituency Member Constituent...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Salam! Naweza kusema Mh. William Lukuvi ni miongoni mwa viongozi wachache walioweza kusifiwa kwa utendaji wao angali wakiwa hai Jana baada orodha ya mawaziri waliochwa kwenye baraza la mawaziri...
23 Reactions
135 Replies
9K Views
  • Redirect
Nadhani hakuwa na kejeli na kiburi cha madaraka kama akina Bashite na wengine makatili! kwenye serikali ile ya kuleeeee. Hakuua wapinzani, hakuwakatili wapinzani, nadhani! Apumzike kwa Amani.
0 Reactions
Replies
Views
Wabunge wote wa CCM wanaoandikisha majina kutaka kuzungumza wanafuatwa au kuitwa na Lukuvi na kuulizwa wanataka kuzungumza nini, ili kama kuna chochote ambacho hakiendani na wanachokitaka wenye...
1 Reactions
2 Replies
315 Views
Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa. Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time...
20 Reactions
148 Replies
2K Views
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugelemeza Nshala amefafanua hoja nne walizowasilisha katika Mahakama ya Rufani katika marejeo ya kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, leo Machi 24, 2026. Hoja...
3 Reactions
8 Replies
496 Views
Submissions za Dr. Rugemeleza Nshala et al, kule Dodoma Court of Appeal zimekuwa nzuri. Zimekidhi haja! Kila mmoja kwa imani yake tusali na kuomba Watukufu majaji wasipigiwe simu, na wakipigiwa...
4 Reactions
11 Replies
390 Views
Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako. Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada...
10 Reactions
62 Replies
2K Views
=== Katika zama hizi za ushindani wa kiuchumi na mabadiliko ya kidigitali, Tanzania inaweka misingi thabiti ya kujenga uchumi shirikishi kupitia ubia kati ya serikali na sekta binafsi. Hatua hii...
2 Reactions
8 Replies
200 Views
Kiwanda cha General Tyre kufunguliwa muda wowote kuanzia hivi sasa.Leo wajerumani wamekabidhi shares 26% kwa serikali hivyo 100% GT iko kwa serikali ambapo balozi Ombeni Sefue alishuhudia hilo...
2 Reactions
280 Replies
42K Views
Kwa hii overview fupi ya Tanzania unaonaje future yetu ya miska 15 mbele? Tanzania Yalenga Kusaini Mradi wa Gesi (LNG) wa Dola Bilioni 42 Kabla ya Juni Baada ya miaka kadhaa ya kukwama, Serikali...
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Back
Top Bottom