Dunia imegawanyika katika pande kuu mbili, mataifa ya Magharibi (US, EU, UK) na Mashariki (Urusi, China, North Korea, nchi za Kiarabu. Kila upande una mitazamo yake kiuchumi, kiulinzi na kidemokrasia.
Wakati wa vita vya kiuchumi au vita halisi, Wamarekani huwa wana msemo wao.
"Either you are with us, or you are with the enemy".
Kitendo cha Samia kwenda Urusi kipindi hiki kinatafsiriwa na Marekani kama ku-side na adui wake.
It's a bad calculation, waliomshauri kwenda Urusi hawakumshauri vizuri na wala hawataifanya Marekani kusitisha mipango yake ya kuiwekea Tanzania vikwazo.