Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 507
- 487
Dira ya Maendeleo 2050 inahitaji rasilimali, teknolojia na ushirikiano wa kimataifa wa hali ya juu. Urusi ina uwezo wa kutoa mchango mkubwa katika kufanikisha Dira hii. Ziara ya Rais Samia inalenga kuhakikisha ushirikiano huu unabeba matokeo ya kweli yanayofika kwa Watanzania wote. #SamiaKaziniUrusi
Tanzania Inasonga Mbele