Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake ya mwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari na yeye...
Kitendo cha Wahisani/Wadau wetu wa Maendeleo kuhudhuria kesi ya Mbowe lengo lilikuwa ni kutuma ujumbe kuwa kesi hii tunaofuatili na tunasubiri kuona mwisho wake(hukumu itakuwa ni ipi).
Baada ya...
CHAMA CHA SAU CHAWASHAURI WANASIASA KUIUNGA MKONO SERIKALI YA AWAMU YA 6
Katibu Mkuu wa Chama cha siasa cha Sauti ya Umma (SAU ) Majalio Kyara akizungumza na Mtandao huu+ ofisini kwake Mgomeni...
Why Nations Fail: A Summary
Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty (2013) by D. Acemoglu and J.A. Robinson.
Overall Summary…
Developed countries are wealthy because of...
Kwa mtazamo mpana Kassim Majaliwa ndiye mwana CCM makini na bora kama CCM itaendelea kuwa madarakani basi huyu PM Kassim Majaliwa ndiye mtu pekee anafaa kuwa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa...
Tanzania ina katiba inayoruhusu uwepo wa vyama vya upinzani. Katiba ipo wazi imeeleza majukumu ya vyama vya upinzani ikiwa pamoja na namna ya kufanya siasa zake. Pia imeeleza majukumu ya jeshi la...
1:DPP kumfutia mbowe mashitaka, nalo litamuongezea popularity kubwa na confidence ya kudai katiba.
2.Mahakama iamue kesi hii, na mbowe akishinda basi ni aibu kwa serikali.
3.Mbowe wamfunge jela...
Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu ..
Hovyohovyo..
Tupeni bili..kodi....
Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!??
Lakini...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Sitashangaa endapo mchakato wa kinidhamu unaoendelea CCM utawatupa nje ya uongozi makada wawili maarufu komredi Polepole na askofu Gwajima.
Lakini sitastaajabu endapo...
Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM.
Polepole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na...
Kwanza naomba ieleweke hii sio kodi bali ni kuchangia elimu au tunaweza kuita kuchangia Mfuko wa Elimu kwa watanzania kugharamia elimu ya shule ya msingi na elimu ya juu.
Napendekeza kila...
Friends and Enemies,
Niwasalim kwa Jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KAZ IENDELEE,
Katika jambo ambalo kila nikikumbuka naishiwa kutokwa na machozi basi ni tukio la kinyama kabisa la...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA
Leo jumamosi tarehe 04/09/2021 kulikuwa na kongamano la Katiba Mpya lililokuwa limeandaliwa na Bavicha Taifa katika Mkoa wa Mara...
Nimejiuliza sana maana kakosea sana yaani zaidi ya sana kitu very basic mno kwa mfuasi yeyote wa Yesu Kristo.
Ina maana Ndugai huwa hasomi Biblia?
Ile sala ya kuliombea Bunge kila asubuhi huwa...
Mheshimiwa sana Tundu Lisu aliwahi kutamka Bungeni kuwa mahakama ilikuwa imenijisiwa kiasi cha kuwa na majaji ambao hawana hata uwezo wa kuandika hukumu. Swali la kujiuliza, je Rais kwa nini...
Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili.
Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression...
Kinachofanywa na dola kwasasa dhidi ya chadema kimevuka mipaka ya uvumilivu. Na ni Jambo linalojirudiarudia hii maana yake haya mambo yanapangwa na kuratibiwa makusudi.
Pengine system inafanya...
Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala...
DKT. NDUGULILE AKAGUA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA HUDUMA PAMOJA
* Waziri Mkuu Majaliwa kuwa Mgeni Rasmi, Septemba 6
Na Prisca Ulomi, Rachel Kitinya ná Loema Joseph
Waziri wa Mawasiliano na...