Wahisani wanasubiri hukumu ya Mbowe na wao watoe hukumu yao kimyakimya au vinginevyo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Kitendo cha Wahisani/Wadau wetu wa Maendeleo kuhudhuria kesi ya Mbowe lengo lilikuwa ni kutuma ujumbe kuwa kesi hii tunaofuatili na tunasubiri kuona mwisho wake(hukumu itakuwa ni ipi).

Baada ya hukumu kutolewa, ni wazi na wao wataamua nini cha kufanya na kwakuwa hawezi kuhoji maamuzi yatayotolewa, tusitegemee wataongea chochote bali tutaona vitendo tu.

Kwa mwenye akili, atajua nini kitafuata.

Napalta hisia ya kuongezeka na kuibuka kwa tozo mpya(sababu utaijua wakati ukifika in case unashindwa kuelewa nini kitatokea).

Maisha yakibadilika, wananchi watajua ni nani kabadilisha maisha yao- mpaka hapo, mwenye faida au hasara utakuwa umeshamjua.

Tusubiri .

Screenshot_20210904-192231_Twitter.jpg
 
Denmark wameshaanza, wengine wanasubiri hukumu itoke, wameshachoka kumpigia mbuzi gitaa, kila siku wanatoa pesa za kukuza utawala bora na haki za binadamu lakini wananchi bado wanabambikiwa kesi za ajabu ajabu tu, na kura vituoni zinafichwa kwenye mabegi meusi.
 
Kitendo cha Wahisani/Wadau wetu wa Maendeleo kuhudhuria kesi ya Mbowe lengo lilikuwa ni kutuma ujumbe kuwa kesi hii tunaofuatili na tunasubiri kuona mwisho wake(hukumu itakuwa ni ipi).

Baada ya hukumu kutolewa, ni wazi na wao wataamua nini cha kufanya na kwakuwa hawezi kuhoji maamuzi yatayotolewa, tusitegemee wataongea chochote bali tutaona vitendo tu.

Kwa mwenye akili, atajua nini kitafuata.

Tusubiri .
Utopolo kazini!!
 
Ni kweli wamehudhuria kufuatilia kesi inavyoendeshwa, akipatikana na hatia, nao wataikubali hukumu iwapo ushahidi utakuwa na nguvu, lakini kama hakuna ushahidi ni yale yakubambikizana basi tusikia kelele zao, na hata sie tusio chadema tutapaza sauti.
 
Unamaanisha mahakama imuache huru,hata Kama Ana hatia kuogopa wahisani?
Lol jaji wa kuogopa wahisani hajazaliwa ila yupo jaji wa kuangalia anayempa kitu mezani.
 
Tunajua wapo wa kupokea maagizo kutoka juu.
 
Denmark wameshaanza, wengine wanasubiri hukumu itoke, wameshachoka kumpigia mbuzi gitaa, kila siku wanatoa pesa za kukuza utawala bora na haki za binadamu lakini wananchi bado wanabambikiwa kesi za ajabu ajabu tu, na kura vituoni zinafichwa kwenye mabegi meusi.
🤣🤣🤣
 
Hujajiuliza tu bado, PAKA anaua na wengine anawafunga lakini wahisani hawakuwahi kumpa hukumu yeyote... M7 kamtenda vibaya Bobi tena waziwazi hao wahisani bado wanacheka naye tu.

Ukijiuliza sana kichwani utajifunza kitu, kwanini Tanzania ni muhimu kwao....
Kama issue ni kuchukua madaraka kwa watanzania kubinywa basi tegemea Watanzania kuiunga mkono CCM kwa nguvu sana....waachwe watanzania wenyewe waichoke CCM wataitoa bila msaada wa yeyote....huku kuwategemea wazungu eti ndio twende ikulu huwa kuna gharama yake ambayo hatuwezi kuilipa milele na milele....
 
Misaa imepungua- Mama mwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom