Vyama vya Upinzani, fungueni kesi kupinga Jeshi la Polisi kuzuia mikutano yenu

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Tanzania ina katiba inayoruhusu uwepo wa vyama vya upinzani. Katiba ipo wazi imeeleza majukumu ya vyama vya upinzani ikiwa pamoja na namna ya kufanya siasa zake. Pia imeeleza majukumu ya jeshi la polisi kwenye mfumo wa vyama vingi.

Kwa sasa vyama vya upinzani vimezuiliwa kufanya mikutano ya hadhara na ya ndani mpaka jeshi la polisi litake. CCM ndio kinafanya mikutano kitakavyo na hakizuiliwi na Jeshi la Polisi.

Ushauri kwa vyama vya upinzani

Nadhani ni wakati sahihi wa kufungua kesi ya kikatiba ya kulizuia Jeshi la Polisi kuzuia mikutano yenu badala yake jeshi lifanye majikumu yake kama yalivyo kwenye katiba.
 
Kwenye mahakama gani? Tanzania tuko kwenue mfumo wa chama kimoja huku katiba tutaitumia uchumi ukistawi!
 
Taabu nyingine ni kuwa mawakili ni kutafuta fursa za kimapato hata kwenye jambo lenye maslahi yakiwamo yao kama hili
 
Mimi nao wadharau Ni wanasheria wa nchi hii yaani wamezubaa Sana pamoja na usomi wao.
 
Tanzania ina katiba inayoruhusu uwepo wa vyama vya upinzani. Katiba ipo wazi imeeleza majukumu ya vyama vya upinzani ikiwa pamoja na namna ya kufanya siasa zake. Pia imeeleza majukumu ya jeshi la polisi kwenye mfumo wa vyama vingi.

Kwa sasa vyama vya upinzani vimezuiliwa kufanya mikutano ya hadhara na ya ndani mpaka jeshi la polisi litake. CCM ndio kinafanya mikutano kitakavyo na hakizuiliwi na Jeshi la Polisi.

Ushauri kwa vyama vya upinzani

Nadhani ni wakati sahihi wa kufungua kesi ya kikatiba ya kulizuia Jeshi la Polisi kuzuia mikutano yenu badala yake jeshi lifanye majikumu yake kama yalivyo kwenye katiba.
Wakati mwingine wanahofia haki kuporwa mahakamani.Cha msingi ipatikane katiba mpya itakayoweka uwanja sawa kwa wtz wote.
 
Kwenye mahakama gani? Tanzania tuko kwenue mfumo wa chama kimoja huku katiba tutaitumia uchumi ukistawi!
Wakati mwingine mtu unafungua kesi ili Mahakama iweke wazi msimamo wake kuhusu jambo fulani. Hata kama hautashinda ulimwengu utatambua ukweli

Amandla...
 
Lakini wengine pamoja na elimu zetu,uwezo wa kisheria hatuna
Ndugu binafsi siwalaumu saana wanasheria, hakuna msomi atakaye tetea/tendea haki taaluma yake mbele CCM na serekali yake. Hukustaajabu Dr. Ku promote nyungu?
 
Tanzania ina katiba inayoruhusu uwepo wa vyama vya upinzani. Katiba ipo wazi imeeleza majukumu ya vyama vya upinzani ikiwa pamoja na namna ya kufanya siasa zake. Pia imeeleza majukumu ya jeshi la polisi kwenye mfumo wa vyama vingi.

Kwa sasa vyama vya upinzani vimezuiliwa kufanya mikutano ya hadhara na ya ndani mpaka jeshi la polisi litake. CCM ndio kinafanya mikutano kitakavyo na hakizuiliwi na Jeshi la Polisi.

Ushauri kwa vyama vya upinzani

Nadhani ni wakati sahihi wa kufungua kesi ya kikatiba ya kulizuia Jeshi la Polisi kuzuia mikutano yenu badala yake jeshi lifanye majikumu yake kama yalivyo kwenye katiba.
Tatizo tulilonalo ni katiba ambayo inalipa jeshi la Polisi mamlaka ya kusimamia hukumu! Hata kama litashindwa mahakamani nani at-enforce hiyo hukumu?
 
Back
Top Bottom