Ndugai kukosea nukuu za Biblia kwa kiasi hicho kumenifikirisha sana, kumbe ndio maana viongozi wetu hawana hofu ya Mungu?

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,036
1,782
Nimejiuliza sana maana kakosea sana yaani zaidi ya sana kitu very basic mno kwa mfuasi yeyote wa Yesu Kristo.

Ina maana Ndugai huwa hasomi Biblia?

Ile sala ya kuliombea Bunge kila asubuhi huwa ina maana gani kwake?

Ndugai ni kweli anaamini katika Yesu Kristo?

Ni kweli Ndugai na aina ya viongozi kama yeye wanamwamini Mungu aliye hai?

Ndugai kweli anahofu ya Mungu?

Ndugai huwa anasali? Na anasali kwa imani ipi?

Kwa kifupi sana Mungu tunusuru na Taifa letu hili maana kuna kiza kinene mno!
 
Ndugai ni mkiristu aliyekengeuka. Ningeumia Sana kusikia eti ni mshaur wa askofu kwenye kanisa lake!!

Yaaani Mungu mwenyewe ameamua kumuumbua
 
Back
Top Bottom