Kuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA...
Nimefungua thread nyingi za wana CHADEMA na tangu asubuhi zilikuwa ni taarifa za kuwepo kesi hii.
Baada ya hapo nikatarajia thread nyingi kuhusu mahakama ilichosema. Sijaona chochote badala yake...
KAIMU POSTAMASTA MKUU AFANYA KIKAO CHA WAFANYAKAZI.
Na Mwandishi Wetu, Dar e's Salaam.
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bwana, Macrice Mbodo amefanya kikao na Wafanyakazi wa...
Salamu zikufikie hapo ulipo, sisi hatujambo, tunaendelea vizuri na ujenzi wa nchi.
Mama, babu yangu alinifundisha msemo mmoja unasema Myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, nikakumbuka kuhusu...
Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.
Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo...
Kama vile mtu ambaye amekerwa na namna Jeshi la Polisi, kupitia kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba, Dk. Mwakyembe Februari 18, wiki iliyopita, alitoa taarifa...
Askofu Gwajima siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwaaminishia watanzania kuwa yeye si mtu wa kuyumbishwa yumbishwa na wachumia tumbo hata kama yupo chama cha CCM , ana uwezo wa kumpinga Mwenyekiti...
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.
Denmark walianzisha...
Naangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa...
Kitendo cha kufanya sarakasi za kisiasa na kumfanya Lowassa mgombea mwaka 2015 ni laana ambayo haitamuacha Mbowe.
Watu tuliyoa uhai kwa ajili ya chama lakini tamaa ya pesa ikamfanya akaribishe...
Tumepokea Taarifa kuwa Jeshi la Polisi limevamia Ukumbi wa Msimbazi Center, Dar es salaam na kuzuia kikao Cha Kamati Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi kisifanyike kwa kisingizio cha tahadhari ya...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Prof. Riziki Shemdoe amekemea vikali na kuonya tabia ya baadhi ya Wakurugenzi na watumishi wa Idara za Masjala wasio na...
Jumla ya Simba 17 wamehamishiwa katika hifadhi ya taifa ya Burigi huko Chato ikiwa ni hatua ya kuimarisha vivutio vya utalii Kanda ya Magharibi.
Simba hao wamepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera...
Kwa hali upepo unavyovuma Jeshi la Polisi litaendelea kuiunga CCM kwa nguvu zao zote ili makamanda wao na wale wenye rekodi ya unyanyasaji raia, wizi na unyang'anyi waendelee kubaki katika...
Vitu vingi ambavyo Magufuli anaviona kama ni utajiri wa nchi hii vinamtegemea mzungu.
Wazungu wakiacha kununua Tanzanite itageuka kuwa kete za kuchezea bao. Vivyo hivyo kwenye dhahabu, almasi...
Nilikuwa nikimfuatalia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Amos leo kupitia tv, kwangu nimemfananisha mkuu huyo na wale watumishi wa Mungu wachungaji wa zamani wakitatua matatizo au migogolo ya...
Nimeiona clip ya Mbowe akiingia mahakamani na akitoka pia.Nimesikiliza maelezo ya mrema kuhusu kilichojiri mahakamani.Nimewasikia kina mama wakiomba.
Najaribu kuwaza hisia za watu ambao...
Nimeona katika picha Rais Samia alitumia ndege ya ATCL Airbus 220 5H-TCH (Dodoma - Hapa Kazi Tu) kwenda Malawi kwenye mkutano wa SADC. Ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria kama 120 hivi.
Sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.