Mara: Polisi yawashikilia Wafuasi wa CHADEMA Waliokuwa wanafanya Usafi kabla ya Kongamano la Katiba

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,808
11,973
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA

Leo jumamosi tarehe 04/09/2021 kulikuwa na kongamano la Katiba Mpya lililokuwa limeandaliwa na Bavicha Taifa katika Mkoa wa Mara wilaya ya Musoma mjini.

Juzi Mkuu wa Mkoa wa Mara akatangaza kuwa Leo itakuwa siku ya usafi Mkoa wa Mara na hivyo kila Mwananchi ambaye hatashiriki atapigwa faini ya shilingi elfu hamsini, Bavicha wakawatangazia wanachama na wananchi waje na vifaa vya usafi ili washiriki kufanya usafi na Mkuu wa Mkoa na baadaye wataendelea na kongamano Lao lililokuwa lifanyike katika ofisi ya Chama Wilaya.

Usiku wa saa Saba na nusu Jeshi la Polisi walivamia ofisi za Chama Wilaya na kuchukua mahema na Viti vilivyokuwa vimeandaliwa Kwa ajili ya kongamano hilo .

Leo Jumamosi asubuhi polisi wamezingira na kufunga Kwa kufuli lao Geti la kuingia ofisini na kuizingira ofisi , na hakuna dalili kuwa wanafanya usafi na badala yake wanawakamata wananchi ambao walikuwa tayari kushiriki zoezi la kufanya usafi.

Waliokamatwa mpaka sasa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Musoma Mjini ni pamoja na;

(1). PATIRICK MWENGE NYABAGWE.
(2). GEORGE BURUMA RUBARE.
(3). NAHIMA MZURI KWAO SELEHIMAN.
(4). MAGRET EMANUEL.
(5). MUSILA JUMA.

Tunaendelea kufuatilia ukiukwaji na ukandamizaji wa Haki dhidi ya raia unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi wakishirikina na vyombo vingine vya Dola .

Tunalaani na kukemea ukiukwaji na uvunjaji huu wa Katiba NA Sheria za Nchi unaoendelea kufanywa na kupandikiza mbegu za chuki ,ubaguzi,uhasama na mgawanyiko ndani ya jamii ya Watanzania Kwa misingi ya kiitikadi.

Tunaendelea kusisitiza kuwa ni Haki ya Watanzania kukusanyika na kujadiliana kuhusu Katiba Mpya na kufanya hivyo hakuna kipengele chochote cha Katiba au sheria kimevunjwa au kukiukwa ,isipokuwa wanaozuia ndio wanavunja Katiba na sheria za Nchi yetu.

Tunaendelea kuvitaka vyombo vya Dola kutimiza majukumu Yao Kwa weledi na kufuata sheria badala ya kutumia mabavu kupambana na wananchi ambao wanataka kujadiliana kuhusu Katiba ya Nchi Yao Kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo.

Tunajiuliza Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora iko wapi ? Au haioni wala kusikia ukiukwaji huu wa Haki za Binadamu unaoendelea kutendeka nchini?

Imetolewa Leo Jumamosi tarehe 04 Septemba,2021.

John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki,, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
 
Msajili wa vyama yupo wapi?
 
Mahema ya nini kama ulikuwa mkutano wa ndani ya ofisi kama unavyoelezea ? Piga hao Bavicha wavunjifu wa amani
 
Chadema wana nia ovu ya kuvuruga amani ya nchi yetu. hivyo vyombo vya ulinzi na usalama visiwachekee hawa wahuni.
 
CHADEMA hamuogopi Corona Tena kukusanyika?
Wabunge wenu si waliwahi kujilock down kuogopa Corona?
 
Kama walikuwa na kibali maalmu ni kosa la maaskari wetu

Lakini iwapo hawakuwa na kibali, hivi kuna sababu ya kuzuia wasitiwe kolokoroni?
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA

Leo jumamosi tarehe 04/09/2021 kulikuwa na kongamano la Katiba Mpya lililokuwa limeandaliwa na Bavicha Taifa katika Mkoa wa Mara wilaya ya Musoma mjini.

Juzi Mkuu wa Mkoa wa Mara akatangaza kuwa Leo itakuwa siku ya usafi Mkoa wa Mara na hivyo kila Mwananchi ambaye hatashiriki atapigwa faini ya shilingi elfu hamsini, Bavicha wakawatangazia wanachama na wananchi waje na vifaa vya usafi ili washiriki kufanya usafi na Mkuu wa Mkoa na baadaye wataendelea na kongamano Lao lililokuwa lifanyike katika ofisi ya Chama Wilaya.

Usiku wa saa Saba na nusu Jeshi la Polisi walivamia ofisi za Chama Wilaya na kuchukua mahema na Viti vilivyokuwa vimeandaliwa Kwa ajili ya kongamano hilo .

Leo Jumamosi asubuhi polisi wamezingira na kufunga Kwa kufuli lao Geti la kuingia ofisini na kuizingira ofisi , na hakuna dalili kuwa wanafanya usafi na badala yake wanawakamata wananchi ambao walikuwa tayari kushiriki zoezi la kufanya usafi.

Waliokamatwa mpaka sasa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Musoma Mjini ni pamoja na;

(1). PATIRICK MWENGE NYABAGWE.
(2). GEORGE BURUMA RUBARE.
(3). NAHIMA MZURI KWAO SELEHIMAN.
(4). MAGRET EMANUEL.
(5). MUSILA JUMA.

Tunaendelea kufuatilia ukiukwaji na ukandamizaji wa Haki dhidi ya raia unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi wakishirikina na vyombo vingine vya Dola .

Tunalaani na kukemea ukiukwaji na uvunjaji huu wa Katiba NA Sheria za Nchi unaoendelea kufanywa na kupandikiza mbegu za chuki ,ubaguzi,uhasama na mgawanyiko ndani ya jamii ya Watanzania Kwa misingi ya kiitikadi.

Tunaendelea kusisitiza kuwa ni Haki ya Watanzania kukusanyika na kujadiliana kuhusu Katiba Mpya na kufanya hivyo hakuna kipengele chochote cha Katiba au sheria kimevunjwa au kukiukwa ,isipokuwa wanaozuia ndio wanavunja Katiba na sheria za Nchi yetu.

Tunaendelea kuvitaka vyombo vya Dola kutimiza majukumu Yao Kwa weledi na kufuata sheria badala ya kutumia mabavu kupambana na wananchi ambao wanataka kujadiliana kuhusu Katiba ya Nchi Yao Kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo.

Tunajiuliza Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora iko wapi ? Au haioni wala kusikia ukiukwaji huu wa Haki za Binadamu unaoendelea kutendeka nchini?

Imetolewa Leo Jumamosi tarehe 04 Septemba,2021.

John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki,, Mawasiliano na Mambo ya Nje.
Si mlisema mtawafungulie kesi polisi wanaofanya vitendo kama hivi? Kwa nini hamuwapeleki mahakamani ili mahakama ituambie kama kufanya kongamano ya Katiba ni kuvunja Katiba na Sheria?

Hivi mnavyoendelea huu utakuwa wimbo wa kila siku mpaka watu watawachoka.

Amandla...
 
Jeshi la polisi litaendelea kuzuia demokrasia mpaka watanzania watakapotoka na mapanga, majembe, na marungu. Watawala watakapoona moto umewaka kila kona ya nchi watakaa na kusikiliza mahitaji ya wananchi. Bila hayo kutokea, mtanzania ataendelea kuishi kama mtumwa nchini kwake mwenyewe.
 
Hawa chadema ni kama kenge,kusikia kwake Hadi damu zimtoke masikioni,waanze kwanza na makongamano ya kubadili katiba ya chadema ili gaidi aliyepo nyuma ya nondo aondoke madarakani
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA

Leo jumamosi tarehe 04/09/2021 kulikuwa na kongamano la Katiba Mpya lililokuwa limeandaliwa na Bavicha Taifa katika Mkoa wa Mara wilaya ya Musoma mjini.

Juzi Mkuu wa Mkoa wa Mara akatangaza kuwa Leo itakuwa siku ya usafi Mkoa wa Mara na hivyo kila Mwananchi ambaye hatashiriki atapigwa faini ya shilingi elfu hamsini, Bavicha wakawatangazia wanachama na wananchi waje na vifaa vya usafi ili washiriki kufanya usafi na Mkuu wa Mkoa na baadaye wataendelea na kongamano Lao lililokuwa lifanyike katika ofisi ya Chama Wilaya.

Usiku wa saa Saba na nusu Jeshi la Polisi walivamia ofisi za Chama Wilaya na kuchukua mahema na Viti vilivyokuwa vimeandaliwa Kwa ajili ya kongamano hilo .

Leo Jumamosi asubuhi polisi wamezingira na kufunga Kwa kufuli lao Geti la kuingia ofisini na kuizingira ofisi , na hakuna dalili kuwa wanafanya usafi na badala yake wanawakamata wananchi ambao walikuwa tayari kushiriki zoezi la kufanya usafi.

Waliokamatwa mpaka sasa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Musoma Mjini ni pamoja na;

(1). PATIRICK MWENGE NYABAGWE.
(2). GEORGE BURUMA RUBARE.
(3). NAHIMA MZURI KWAO SELEHIMAN.
(4). MAGRET EMANUEL.
(5). MUSILA JUMA.

Tunaendelea kufuatilia ukiukwaji na ukandamizaji wa Haki dhidi ya raia unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi wakishirikina na vyombo vingine vya Dola .

Tunalaani na kukemea ukiukwaji na uvunjaji huu wa Katiba NA Sheria za Nchi unaoendelea kufanywa na kupandikiza mbegu za chuki ,ubaguzi,uhasama na mgawanyiko ndani ya jamii ya Watanzania Kwa misingi ya kiitikadi.

Tunaendelea kusisitiza kuwa ni Haki ya Watanzania kukusanyika na kujadiliana kuhusu Katiba Mpya na kufanya hivyo hakuna kipengele chochote cha Katiba au sheria kimevunjwa au kukiukwa ,isipokuwa wanaozuia ndio wanavunja Katiba na sheria za Nchi yetu.

Tunaendelea kuvitaka vyombo vya Dola kutimiza majukumu Yao Kwa weledi na kufuata sheria badala ya kutumia mabavu kupambana na wananchi ambao wanataka kujadiliana kuhusu Katiba ya Nchi Yao Kwa manufaa ya sasa na vizazi vijavyo.

Tunajiuliza Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora iko wapi ? Au haioni wala kusikia ukiukwaji huu wa Haki za Binadamu unaoendelea kutendeka nchini?

Imetolewa Leo Jumamosi tarehe 04 Septemba,2021.

John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki,, Mawasiliano na Mambo ya Nje.

Hawa jamaa kusikia miito wakati masikio makavu haiwezekani.

Tusiogope wala kucheka kukamatwa. Mkakati wa kuwahami wahanga ni jambo la dharura sasa:

CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya
 
Back
Top Bottom