Kwambali naanza kuielewa system yanatokea hayatokei kwa bahati mbaya chadema wanasaidiwa Ila hawaoni

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Kinachofanywa na dola kwasasa dhidi ya chadema kimevuka mipaka ya uvumilivu. Na ni Jambo linalojirudiarudia hii maana yake haya mambo yanapangwa na kuratibiwa makusudi.

Pengine system inafanya hivi ili kuichonganisha ccm na wananchi ili waiprovoke jamii halafu jamii ifanye Kama tahrir square ccm iondolewe bila kumwaga damu.

Just imagine system haiwezi kuasi Ila hiki kinachotokea kwa chadema kinaamsha hasira Sana kwa wananchi kwahiyo nadhani lengo ni kuifanya jamii yenyewe ifanye mabadiliko bila kutikisa mihimili ya kidola.

Chadema tunapaswa kuiona hii Kama fursa adhimu na si kulalamika .
Mpaka Sasa jamii yote ipo na chadema dhidi ya ccm inayotawala kimabavu.

Kama ndivyo Basi heko kwa system ya Tanzania. Lakini swali je chadema wanaiona hii fursa wanayotengenezewa na system?
 
Ubaya ni kwamba, Chadema ni genge la kihuni tu kama magenge mengine yale ya kule Mexico kwa wauza unga.
 
Kwavipi? Cartels za Mexico zinakata watu vichwa kwa misumeno na visu huku wanarekodi video cartels za Mexico zinachinja watu viungo wakiwa hai mpaka wanazimia kwa maumivu Sasa kuilinganisha chadema na Hawa wa Mexico unawaonea.
 
Kinachofanywa na dola kwasasa dhidi ya chadema kimevuka mipaka ya uvumilivu. Na ni Jambo linalojirudiarudia hii maana yake haya mambo yanapangwa na kuratibiwa makusudi.

Pengine system inafanya hivi ili kuichonganisha ccm na wananchi ili waiprovoke jamii halafu jamii ifanye Kama tahrir square ccm iondolewe bila kumwaga damu.

Just imagine system haiwezi kuasi Ila hiki kinachotokea kwa chadema kinaamsha hasira Sana kwa wananchi kwahiyo nadhani lengo ni kuifanya jamii yenyewe ifanye mabadiliko bila kutikisa mihimili ya kidola.

Chadema tunapaswa kuiona hii Kama fursa adhimu na si kulalamika .
Mpaka Sasa jamii yote ipo na chadema dhidi ya ccm inayotawala kimabavu.

Kama ndivyo Basi heko kwa system ya Tanzania. Lakini swali je chadema wanaiona hii fursa wanayotengenezewa na system?
Fursa ilikuwepo mwaka 2015 chini ya majemedari wa kisiasa kama vile Dr Slaa, Prof Safari, Prof Lipumba, ukawa original nk. Kwa sasa upinzani umebaki na wapuuzi watupu wanaopigania matumbo yao na nyadhifa zao ndani ya chama. Btw, there's nothing more my friend, trust me.
 
Kama unadhani huo ni msaada unajidanganya!!kinachofanywa na system ni kuendelea kuisaidia ccm kutawala kwani na wao ni wafaidika wa ccm kutawala!!!Watz hawawezi kuiondoa ccm madarakani kwa kura wala kwa Bunduki wala kivyovyote kwani hawana roho ya upambanaji kama nchi nyingine!!!CHADEMA imefanya mengi mazuri lakini wamekosa wananchi siriaz wasio na uoga wa kupambana zaidi ya keyboard warriers!!!CCM haiwezirudi nyuma tena kwa ule ujinga alioleta mwendazake wa mkono wa chuma wakirudi nyuma kwa kujali maoni na demokrasia watapoteza dola!!!MSHALE ULISHA TOKA KWENYE UPINDE UCHAGUZI 2020 LAZIMA USONGE MBELE HATA KAMA AWE NI KIKWETE AKIJATAWALA BADAE!!!
 
Kusutwa na dhamira!! Naam hata tunaoishabikia CCM tunaanza kusutwa na dhamira.CCM wanafanya mikutano ya wazi na ya nje lakini hawazuiwi.Huu ni ukweli ambao hata wanaoukataa ni kama wanasimamisha mishale ya saa ili muda usiende lakini giza litaingia tu.Tulimuonya marehemukuhusu kuzuia mikutano na hawakutusikia lakini wakati wa uchaguzi ilibidi utumike uharamia.Utatumika uharamia kwa chaguzi ngapi zijazo,AJUAYE NI ALLAH lakini nadhani si nyingi.
Kwa ujumla ni kuwa kwa matendo haya wanau promo upinzani bila sabau yoyote ya msingi.Sikio la kufa halisikii dawa,leo mabalozi wanahudhuria kesi ya GAIDI!!
 
Kinachofanywa na dola kwasasa dhidi ya chadema kimevuka mipaka ya uvumilivu. Na ni Jambo linalojirudiarudia hii maana yake haya mambo yanapangwa na kuratibiwa makusudi.

Pengine system inafanya hivi ili kuichonganisha ccm na wananchi ili waiprovoke jamii halafu jamii ifanye Kama tahrir square ccm iondolewe bila kumwaga damu.

Just imagine system haiwezi kuasi Ila hiki kinachotokea kwa chadema kinaamsha hasira Sana kwa wananchi kwahiyo nadhani lengo ni kuifanya jamii yenyewe ifanye mabadiliko bila kutikisa mihimili ya kidola.

Chadema tunapaswa kuiona hii Kama fursa adhimu na si kulalamika .
Mpaka Sasa jamii yote ipo na chadema dhidi ya ccm inayotawala kimabavu.

Kama ndivyo Basi heko kwa system ya Tanzania. Lakini swali je chadema wanaiona hii fursa wanayotengenezewa na system?
Sema kinachofanywa dhidi ya wananchi kwani Chadema wewe unaona inauwezo gani wa kushawishi raia milioni sitini dhidi ya serikali?

*Chadema is no longer existing as an institution but, internal opposition within the system is gravely mounting in such a way the resistive motive and muscular flexing lapse dissipates effects upon the non-target victim reacting with unexpected provocations.
 
Nchi hii watakaoleta upotevu wa amani nchi yetu ni hao walioshika mamlaka
 
Kinachofanywa na dola kwasasa dhidi ya chadema kimevuka mipaka ya uvumilivu. Na ni Jambo linalojirudiarudia hii maana yake haya mambo yanapangwa na kuratibiwa makusudi.

Pengine system inafanya hivi ili kuichonganisha ccm na wananchi ili waiprovoke jamii halafu jamii ifanye Kama tahrir square ccm iondolewe bila kumwaga damu.

Just imagine system haiwezi kuasi Ila hiki kinachotokea kwa chadema kinaamsha hasira Sana kwa wananchi kwahiyo nadhani lengo ni kuifanya jamii yenyewe ifanye mabadiliko bila kutikisa mihimili ya kidola.

Chadema tunapaswa kuiona hii Kama fursa adhimu na si kulalamika .
Mpaka Sasa jamii yote ipo na chadema dhidi ya ccm inayotawala kimabavu.

Kama ndivyo Basi heko kwa system ya Tanzania. Lakini swali je chadema wanaiona hii fursa wanayotengenezewa na system?
Endelea kuota mchana!
 
Ubaya ni kwamba, Chadema ni genge la kihuni tu kama magenge mengine yale ya kule Mexico kwa wauza unga.
Gaidi lilitokea CCM😁😁😁

Genge la kihuni tu kama magenge mengine yale ya kule Mexico kwa wauza unga ni hiki chama kinachozalisha magaidi.
kGayQ.jpg
AQNUPo.jpg
2904506_IMG_0151.jpg
AEyXWF.jpg
1630045965_1630045965-picsay.jpg
 
Big no.
System hii hii dhaifu ndio watumie njia hii kumfitini Samia na CCM?
Nikuambie kitu,
Wananchi wenye IQ below 35 hawawezi kuona ubaya wa serikali katika sakata la Mbowe.
Nimewakuta wananchi kadhaa wakimsema vibaya Mbowe na wapinzani kuwa wanaleta vurugu nchini.
Watanzania ni manyumbu, hata tozo ingepandishwa kwa 300% hakuna Mtanzania angeweza kufanya lolote.
 
cdm ilokua na slaa ndo cdm serious walobaki ni matapeli tu.
Huyo Slaa angekuwa serious angenunulika na CCM?
Nawashangaa sana mnaompa sifa Slaa.
Nakuhakikishia Dk. Slaa kama angekuwa kiongozi wa chadema kipindi cha Magufuli asingethubutu hata kufanya mikutano ya ndani.
 
Back
Top Bottom