Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa...
FRIDAY SEPTEMBER 03
By Julius Mnganga
Bunge ni mhimili muhimu wa Serikali, ambalo hukutanisha wawakilishi wa wananchi kutoka Tanzania nzima. Ni sehemu pekee ambayo wajumbe wake wanawakilisha...
Sikuwahi kufikiri kwamba hata wabunge huwa wanaoneana wivu kwa vitu vidogo vidogo kabisa
Yaani mbunge mzima anasimama na kuanza kulalamika kwamba yuko bungeni siku nyingi lakini bado anakaa kiti...
Kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili washtakiwa watatu akiwemo afisa wanyama pori (KDU) ,Jonson Kadengele(34)Mkazi wa Njiro imeanza kusikilizwa katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha, ambapo...
Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swala hili la chanjo.
Mzee Makamba anasema baadhi ya...
Mungu ni mwema wakati wote!
Nawauliza tu wale wote wanaomtetea Hamza Mohamed ambaye polisi imethibitisha alikuwa na viashiria vyote vya kuwa Gaidi
Gaidi Osama bin Laden alikuwa mtu mwenye tabia...
kwakweli huu ndio ukweli mchungu, asilimia kubwa sisi ni wezi na kila mmoja huiba kwa nafasi yake,
mimi nimefanya hata kazi kwenye mashirika ya kimataifa wenye vyeo vya juu kule ni watu wa...
Dar es Salaam. Kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi leo imeanza kusikilizwa mahakama kuu...
Mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Iringa mjini mwama 2020 Steven Mengele aka Nyerere amewaonya baadhi ya wanachama wa CCM waliojipanga kuanzisha chama kipya kuachana na mpango huo mara moja
Nyerere...
Mahakama Kuu Division ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa Leo Septemba Mosi, 2021 imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Mawakili wa upande wa utetezi, juu ya Mahakama hiyo kuwa na uwezo...
Usiku huu nimeshindwa kuomba! Nimejikuta nikitokwa na machozi! Si machozi ya huzuni wala si machozi ya furaha! Ni machozi ya mshangao nikimshangaa Mungu! Nilikuwa nikitaka kuwaombea baadhi ya...
Salaam Wakuu,
Tarehe 2 Aug 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mmoja...
Tanzania chini ya uongozi wa Chadema hapo 2025 ni kuongoza nchi kama nchi tajiri nambari one duniani,haya matozo ya ajabu ajabu haya yote yanaondolewa.
Utajiri uliopo Tanzania unashinda utajiri...
Kumekuwa na tuhuma nyingi zikielekezwa Jeshi la Polisi kuhusu kubambikiza kesi, kunyanyasa raia ambao ndio wanapaswa kuwalinda, utesaji wa watuhumiwa hadi wengine kuuwawa, kama ilivyotokea kwa...
Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE...
Dodoma.
Mbunge wa Kilindi (CCM) nchini Tanzania, Omary Kigua amesema ujio wa Mbunge wa Kawe (CCM), Josephat Gwajima katika Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu shauri lake...
Ewura ni chombo cha serikali mahususi ku -regulate bei ya nishati nchini, pia chombo hiki kipo kwa mujibu wa sheria
.
Kabla ya hayati Magufuli kufariki mfumuko wa bei kwa kiasi flani ulitulia...
Ni mda sasa tangu Tanzania tuanze kutumia mfumo wa vyama vingi. Chaguo lililoonekana kuwa bora zaidi kwa nchi nyingi za Afrika baada ya ukoloni.
Mfumo huu wa chama kimoja kilicho chaguliwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amewaambia watanzania kwa sasa wahisani hawaleti misaada nchini, wanataka biashara ili kugawana faida
Amesema kwa sababu hiyo ni lazima tujinyang'anye wenyewe ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.