Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa sasa hivi rais Samia yuko kwenye Royal Tour akitengeneza filam ili kutangaza vivutio vya utalii kwa lengo la kuvutia watalii wa nje. Ni jambo jema sana. Maswali kwenu: 1. Gharama za...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalaaam, Uyu waziri wetu wa fedha Bw. Mwigulu Nchwmba anapaswa kudhibitiwa, Au Kama Hana la maana la kuongea Bora TU akae kimya. Kumsikiliza mwigulu akiongea chochote nchi Hii imekua Ni KERO...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimefurahi sana ile tunu ya kuwa kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar anatokea upande wa pili wa Muungano huu, yaani anatokea kwenye visiwa vinavyonuka marashi ya karafuu...
0 Reactions
4 Replies
774 Views
Mzee wa kanisa mwana wa galilaya, Naombeni mumfikishie ujumbe askofu kibwetere, jumapili asije akajiroga kuijibu hii namba, usicheze na hii namba hii ni namba nyingine😀😀, ukileta wendawazimu...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Napenda kuishauri serikali iunde chombo cha kusimamia biashara za mtandaoni ili kuziboresha na kupanua wigo wa walipa kodi. Binafsi mimi ni mfanyabiashara wa online, kwa uzoefu wangu kufanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ndiyo ukweli, bila kumung'unya maneno rais Samia hana ushawishi mkubwa kwa wananchi. Nimezunguuka mitaani na kutaka kujua maoni ya wananchi juu ya Rais Samia, wengi ninaozungumza nao ni kama...
39 Reactions
108 Replies
8K Views
Bunge limekuwa dhaifu. Aliwahi kuyasema haya Prof. Assad. Bunge limekuwa kibogoyo. Aliwahi kuyasema haya mwandishi na mchambuzi mkongwe wa masuala ya kisiasa Pascal Mayalla. Maneno ya nguli hawa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuuu najaribu kuwaza kwa mapana, Tanzania tunatumia KATIBA ya mwaka 1977 na huu ni mwaka 2021. Malalamiko ni mengi mno kutokana na KATIBA ya OVYO. Je, Watanzania siku wakifahamu hili suala ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ni kwa kutuona je? 1. Kadhia ya mbunge Jerry Silaa ambapo yeye akiwa Mbunge na bila kushawishiwa na mtu anaona wabunge akiwamo yeye hawalipi kodi stahiki. 2. Wananchi tunajua zipo njia...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Kasi ya ustawi wa maendeleo na ujenzi wa Taifa imara imeendelea kuonekana katika uongozi huu madhubuti wa Serikali ya awamu ya Sita ya Mama yetu Mh. Rais Samia Suluhu. Ujenzi wa miundombinu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
"Tusimuache Mama Peke yake" Kauli hii imetolewa na Spika wa Bunge Mhe. Ndugai leo hii Bungeni wakati akithibitisha adhabu ya Mbuge wa Kawe na Ukonga. kauli hiyo ameitoa kwa hisia kali huku...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald, amesema kuwa ili kuipunguzia serikali mzigo wa kununua magodoro kwa ajili ya wafungwa na mahabusu gerezani, basi ione haja ya wafungwa hao kuwa...
2 Reactions
25 Replies
45K Views
Nakiri kama nchi hii msomi wa ngazi ya PhD anaweza kufikiri kama darasa la saba, ni jambo la kusikitisha sana. Mimi nisingeshindwa kusema naogeza tozo kwenye miamala, natoza kodi ya Nyumba kwenye...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kumekuwa na kundi moja la wananchi wanaoamini kuwa Mbowe amekamatwa kihalali kabisa Katika makosa anayotuhumiwa nayo ya ugaidi na ushahidi usio na shaka yoyote utatolewa mahakamani kuthibitisha...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Askofu Gwajima kwanza usife moyo kwa wewe kusimamishwa kuingia bungeni, binafsi naamini Mungu wa mbinguni anataka kukutumia kwa kazi kubwa zaidi. Ni wazi dunia haijapata jawabu ndio maana kuingia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu poleni na majukumu. Leo nimeona tukumbushane jambo muhimu la kuliewa sote Waafrika. Nimeona tujikumbushe ni wapi wakubwa wa dunia wanatupeleka sisi tuitwao dunia ya tatu. Ni kwamba...
8 Reactions
82 Replies
8K Views
Uungaji mkono wa China kwenye majukwaa ya kimataifa sio jambo la bahati mbaya Katika muda wa miaka 20 iliyopita China imejitokeza kuwa msaada mkubwa kwa nchi nyingi duniani, hasa nchi za dunia ya...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Hata mbuyu ulianza kama mchicha na hakuna marefu yasiyo na mwisho. Kesi inayo mkabili mh Mbowe ya ugaidi nauhujumu uchumi hapa nchini imeanza kama masihara sana. Leo hii mataifa ya ulaya na...
24 Reactions
154 Replies
9K Views
Wasalaam. Kitendo cha Serikali ya CCM kutunga sheria ya tozo za simu na kisha bunge la CCM kupitisha na mwenyekiti wa CCM kusaini na kuwa sheria kiliibua vilio nchi nzima. Lakini leo hii...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amesema Tozo za miamala siyo kitu kipya sema tu wananchi ni wasahaulifu. " Nyie hamjawahi kupaa Meseji inayosema ' tuma na ya kutolea'?" Dr Mwigullu amewauliza...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom