Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa uhuru wa kujieleza kwa kila raia wake bila tashishwi ili mradi tu, uhuru huo hauingilii, kuvunja kutweza na kufanya dhalili haki ya...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi amesema azimio la Bunge la kutaka vyombo vingine vimchukulie hatua Mbunge wa Kawe (CCM) Askofu Josephat Gwajima linatosha kumfanya...
1. Serikali ya CCM tambueni kabisa kuwa kila jambo mnalofanya wananchi kwa sasa wanauelewa nalo wa hali ya juu
2. Mkanganyiko juu ya chanjo ni muhimu serkali ikatumia busara na kuacha mihemko...
Kwa kifupi serikali ya sasa imerudisha mambo yote yasofaa ambayo mwenzao hayati Magufuli aliyaongelea kuwa ndiyo yalorudisha nyuma nchi hii.
Kwa utafiti mdogo ambao mtu yeyote aweza kuufanya hadi...
Tukio liko mubashara ITV
Rais Samia akiwa na mbunge wa Kawe wanahutubia wananchi wa jimbo la Kawe eneo la Tegeta manispaa ya Kinondoni.
Kwa sasa askofu Gwajima amepanda kwenye gari ya Ikulu na...
TPDC wamesema wanaendelea na zoezi la kusambaza gesi ya kutumia majumbani kutoka Kinyerezi kwenda kwa wakazi wote wa jiji la Dar es salaam.
Wameanzia Kijitonyama ambako waziri wa nishati mh...
Wakuu mie si mdau sana katika masuala ya kisiasa . Nipo kwenye lile kundi ambalo tunafatilia taarifa za kisiasa kwenye trending issues. Sasa hapa karibuni nikipita kwenye page tofauti tofauti za...
Ujinga sio tusi bali kutojua jambo fulani basi huenda ukawa mjinga katika jambo hilo.
Sasa wanataka kushiriki uchaguzi Jimbo la konde bila kutupa majibu ya maswali yafuayayo
1) Je, mmeahidiwa...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo.
Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu...
Ni kweli hizi chanjo zilizo letwa wiki tatu zilizopita hazina muda wa kuharibika?
Kati ya mambo ambayo yamewashinda kabisa wizara ya afya kwenye hili chanjo ya COVID ni kuweza kutoa elimu sahihi...
Leo nimekuona na kukusikia kwenye TV ukitushauri wananchi tufuatilie mienendo ya watu kabla hawajafanya matukio mabaya! Ushauri huu ni mzuri lakini na nyie vyombo vya dola mbona matukio kama hayo...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makala amepiga marufuku uchangishaji wa michango yoyote katika shule za mkoa wake.
Makala amesema kama ni michango basi itaamuliwa na wananchi wenyewe na...
Ole kwao ambao wananchi hawa maskini waliwapa dhamana ya kuwaongoza wakitegemea kuboreshewa maisha na kinyume chake wanawatesa kupitia kodi na tozo zisizo na maana.
Ole wao kwa kuwa tunajua hizi...
Ndugu zangu!
It’s too much of pity issues. Imagine kama Taifa tunapiga kelele kupinga tozo za miamala! Jamani?
Uzalendo uko wapi?
Imeshatolewa ufafanuzi kuhusu dhamira ya serikali kukusanya...
Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki...
Serikali imeeleza sababu za kuweka tozo kwenye miamala. Sababu kubwa ni kwamba ina upungufu wa hela, na wakati huo huo inataka kutimiza wajibu wake wa kutoa huduma. Sababu ya pili ni kuepuka...
Nakutia nguvu tena Mhe Mwigulu Lameck Nchemba "Madelu". Endelea kuchapa kazi usirudi nyuma. Wapo Watanzania wenzetu huko vijijini afya yao ni shida, barabara ni tabu n.k.
Ubunifu huu wa tozo...
Kwa sasa hivi rais Samia yuko kwenye Royal Tour akitengeneza filam ili kutangaza vivutio vya utalii kwa lengo la kuvutia watalii wa nje. Ni jambo jema sana.
Maswali kwenu:
1. Gharama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.