Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wamarekani waliposhambuliwa na magaidi haraka haraka walitunga sharia kali za kupambana ugaidi na waliziingiza haraka katika sharia za kimataifa, haitoshi walimwaona gaidi kama kirusi cha hatari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa katiba yetu ambayo ina halalisha uwepo wa muhimili uliojichimbia zaidi, mahakama ni sehemu ya chombo cha dola. Ni kwa sababu hiyo japo mahakamani kulipaswa kuwa ni sehemu huru na...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi kama mfuasi namba moja wa Chadema nalaani uonevu mkubwa wanaofanyiwa viongozi wangu na chama dharimu cha CCM, na njia pekee ya kupambana na hili ni kupata katiba mpya. Sio kupata katiba mpya...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
03 September 2021 Inside the French Embassy Dar es Salaam, Tanzania What defined my time as French ambassador to Tanzania: Exclusive interview with Frédéric Clavier In his last interview as the...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki. Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo...
13 Reactions
104 Replies
12K Views
Jamii Forums inakukaribisha kwenye Mjadala wa Ugonjwa wa UVIKO-19 na Waliopata Chanjo Ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika Clubhouse leo Septemba 2, 2021 kuanzia Saa 11:30 jioni hadi saa...
12 Reactions
105 Replies
8K Views
Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi. Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Mtu mmoja alikamatwa na jeshi la polisi baada ya kuonekana akishangaa shangaa katika eneo la daraja la salenda. Hata hivyo mtuhumiwa huyo amedai alikwenda kuwauliza polisi hao jambo fulani ndipo...
31 Reactions
116 Replies
15K Views
Samahani Kwa headline yenye kushutumu......!!!!!! Kwa umakini na Kwa heshima ukifika sehemu nyeti kama bar muhudumu atakuona wathamani sana zaidi ya yule aliekua nae kabla yako...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna...
12 Reactions
355 Replies
47K Views
Ipo misemo madaraka hulevya, ni kweli tunashuhudia inatokea. Nimeguswa na Sehemu ujumbe Balozi wa Uingereza nchini David Conker Tweeter ." .... Nimerejea baada ya likizo yangu ....kurejea...
1 Reactions
0 Replies
586 Views
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Ninapata nguvu kubwa ya kuamini kwamba kinachooendelea kwa Mbowe na CHADEMA kwa ujumla ni kuzima ajenda ya katiba mpya kabisa kisha ikishakufa anatokea DPP anasema sina haja ya kuendelea na kesi...
2 Reactions
6 Replies
826 Views
Msimamo wa Chadema uliotolewa na mwenyekiti wao kuhusu chanjo ya Corona ni kwamba chanjo ni lazima hivyo wananchi wote wachanjwe. Hii maana yake CHADEMA hata ingekuwa na wafuasi 700,000 tu chanjo...
11 Reactions
50 Replies
3K Views
Mabounsa wakimzuia Devota Minja(Chadema) kurudisha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Morogoro mjini mwaka 2020. Kwa haya Tanzania ni Taifa la aibu na laana.
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Serikali imetoa kibali cha kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuajiri askari polisi wapya 3103 mchakato ambao unaendelea kwa sasa kwa askari hao kuajiriwa kwa kuzingatia vigezo na masharti ya...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
TUNALAANI VITENDO VYA UDHALILISHAJI KIJINSIA VILIVYOFANYWA NA POLISI HANDENI, TANGA. Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya baadhi ya Askari wa Jeshi la...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi ni sababu zipi zinazofanya Serikali ishindwe kuwaendesha EWURA? Kwasababu naona kila kitu wanajipangia wao tu. 1. Bei za mafuta wanajipangia wao tu watakavyo 2. Kuajiri wanajiajiria...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Taarifa ya Kamati ya haki, maadili na Madaraka ya bunge iliungwa mkono na Spika wa Bunge kabla ya kuanza kujadiliwa na bunge (baada tu ya Mwenyekiti wa kamati kutoa hoja). Tafsiri ni kuwa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom