Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna Mtu tokea akiwa Masomoni Chuo Kikuu niliambiwa kuwa alikuwa ni Mhuni ( Mpenda Ngono hovyo hovyo ) nikawa bado mgumu Kuamini. Mtu huyo huyo tena akaniambia kuwa Mwanaume aliyenae sasa siyo wa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwanza nimpongeze Rais Mwinyi kwa maamuzi ya busara ya kuuza meli zote zinazomilikiwa na SMZ. Nauliza tu iwapo meli za huku Tanganyika zinaingiza faida?!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukifuatilia sala na maombezi mengi yanayofanywa hasa na viongozi wa dini ya kikikristo ambayo Mimi Ni muumini utaja majina ya viongozi wa kitaifa, kimkoa, kiwilaya na hata mataifa mengine. Katika...
0 Reactions
6 Replies
44K Views
[emoji116]
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA . Cha...
25 Reactions
120 Replies
11K Views
Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani. Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa...
9 Reactions
107 Replies
19K Views
..................
0 Reactions
1 Replies
458 Views
Ni hivi karibuni tu mwanachama gaidi wa CCM bwana Hamza kutokana na ripoti za uchunguzi wa Polisi ameua Askari polisi wetu watatu na mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kujeruhi askari wengine na...
12 Reactions
11 Replies
2K Views
Mbunge Issa Mchungahela amesema Taifa haliwezi kuendelea bila kuendeleza Viwanda na vitu vyote vinavyozungumwa haviwezi kufanikiwa. Amesema hayo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nakiri kuwa sijawahi kuishabikia CCM hata kwa bahati mbaya. CCM ni chafu na inanuka. Siwezi kuishi kwenye nyumba inayonuka, nikijifunika blanketi moja na wanaonuka, nikikesha na wenzangu wanaonuka...
38 Reactions
92 Replies
6K Views
Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Jeshi la polisi limekuwa likikabiliwa na tuhuma nyingi kwa kushindwa kuchukuwa hatua stahili na kwa wakati kudhibiti na kuzuia jinai mbalimbali. Mifano michache ni kama ifuatayo: Sakata la mmoja...
7 Reactions
391 Replies
34K Views
Nawasalimu Wakuu, Nianze pasipo kupoteza Muda. Kauli ya Serikali ya kusema kua Watanzania wamekubali Tozo haina tofauti hata kidogo na ile kauli yao waliyo toa wakisema Watanzania hawataki...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai cha kukamatwa kwa mbunge wa Ukonga (CCM)...
14 Reactions
108 Replies
12K Views
Nimesikitishwa kwa kiasi kikubwa sana na huyu kiongozi ambaye pia ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo la KAWE kwa kauli zake za kuligawa taifa. Ni kama vile mamlaka vinamchekea utafikiri yeye...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Sijamuelewa kabisa huyu mwandishi nguli ana maana gani? Yaani enzi za hayati Magufuli kulikuwa hakuna weledi? Alikuwa anafanya kazi kwa kuangalia watu?
4 Reactions
65 Replies
5K Views
Kwa namna jeshi la polisi linavyodili na watuhumiwa wa uhalifu hapa nchini basi ifikie hatua tusiwe na chombo kinachoitwa mahakama. Maana mtu akituhumiwa kwa wizi wa aina yoyote kabla ya kufika...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwenye hili la Chanjo, Rais Samia alikwama kimkakati. Na Dotto Bulendu(MwanaPuge),nikiandika kutoka kijijini Puge. ::::::::::::: Vita ya hoja juu ya Ugonjwa wa Corona nchini kati ya Ndugu wawili...
16 Reactions
37 Replies
4K Views
Kamanda Wambura ametoa taarifa yake kuhusiana na uchunguzi wa kadhia ya Hamza kuwa alikuwa ni gaidi. Halipo jipya kwenye taarifa hiyo kwani ni wazi kuwa kilichofanyika ni kuhalalisha tu ambacho...
12 Reactions
62 Replies
7K Views
Back
Top Bottom