Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa sana Tundu Lisu aliwahi kutamka Bungeni kuwa mahakama ilikuwa imenijisiwa kiasi cha kuwa na majaji ambao hawana hata uwezo wa kuandika hukumu. Swali la kujiuliza, je Rais kwa nini...
4 Reactions
2 Replies
707 Views
Kama ni kweli, nimeumia sana kwamba kila anayesema kuhusu ubeberu na kuhusu ugonjwa wa corona anaitwa kwenye maadili. Freedom of expression iko wapi? Au Mbunge hana freedom of expression...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Kinachofanywa na dola kwasasa dhidi ya chadema kimevuka mipaka ya uvumilivu. Na ni Jambo linalojirudiarudia hii maana yake haya mambo yanapangwa na kuratibiwa makusudi. Pengine system inafanya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
DKT. NDUGULILE AKAGUA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA HUDUMA PAMOJA * Waziri Mkuu Majaliwa kuwa Mgeni Rasmi, Septemba 6 Na Prisca Ulomi, Rachel Kitinya ná Loema Joseph Waziri wa Mawasiliano na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mambo ambayo ukijifikiria hupati jibu rasmi, Mwuenendo wa Rais Samia Suluhu umewachanganya wengi mpaka sasa baadhi wanamuelewa baadhi hawamuelewi na baadhi wamechanganyikiwa kabisa, Wakati...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
So far nchi yetu haijaweza kukumbwa na matukio ya moja kwa moja ya ugaidi kama ambavyo imekuwa ikitokea katika nchi nyingine za Africa na kwingineko. Sababu kubwa si nyingine bali ni ile...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua...
22 Reactions
288 Replies
23K Views
Hawa ndio Polisi wetu na hii ndio Tanzania chini ya Raisi Samia. Jisomeni wenyewe maneno haya ya RPC wa Mkoa wa Mara:
6 Reactions
69 Replies
6K Views
Hayo yalisemwa bungeni jana na Waziri wa elimu Prof Ndalichako. Source: ITV habari!
0 Reactions
5 Replies
781 Views
2 TIMOTHEO 3 Siku ya mwisho 1Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. 2Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana...
2 Reactions
1 Replies
680 Views
Hivi karibuni kulitokea tukio la kustua na kutisha Sana, ambapo kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, alipofika kituo cha Selander Bridge na kuwafyatulia risasi kwa kutumia bastola yake na...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
1 TIMOTHEO 2 Mafundisho kuhusu sala 1Kwanza kabisa, nawasihi muombe dua, msali na kumshukuru Mungu kwa ajili ya watu wote, 2kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Eneo la lolkisali monduli awali lilitengwa kwa matumizi ya jeshi enzi hizo waziri mkuu akiwa edward sokoine. Baada ya miaka kadha ikaonekana na serikali wananchi wanaweza kupewa eneo hilo kwa...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Labda kwa nchi nyingine za Kiafrika ambazo bado wanahangaika na siasa wakati wote, lakini kwa hapa Tanzania tusitegemee jipya kwa Upinzani kushinda Uchaguzi Mkuu. Hawajajipanga, na wapo busy...
0 Reactions
6 Replies
572 Views
Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka...
81 Reactions
106 Replies
11K Views
Katika fedha za makato ya simu, sisi Mbeya tumepokea shilingi bilioni 1 kwa ajili ya vituo vyetu vya afya vinne ambavyo ni kule Chunya tarafa ya Kipembawe, Unyakyusa, Utagano na Mbeya DC pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hahhaha.. Hizi dana dana tu! Kuna kitu kimoja watu hawajui, Ni hivi, Kina Gwajima wangefukuzwa chamani kwa utovu wa nidhamu ila sasa haiwezekani ndio maana unaona wanarushiana mpira. Unajua kwa...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbunge wa kuchaguliwa ama yule wa viti maalum hukoma kuwa mbunge pale tu akikosa kuwa mwanachama wa chama Cha siasa ama muda wake kuisha au sababu zingine za kisheria zilizo ainishwa katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom