Kuna mambo ambayo ukijifikiria hupati jibu rasmi,
Mwuenendo wa Rais Samia Suluhu umewachanganya wengi mpaka sasa baadhi wanamuelewa baadhi hawamuelewi na baadhi wamechanganyikiwa kabisa,
Wakati anaingia mwanzo mwanzo wapinzani walifurahi sana na wnanchi kwa ujumla, Wapinzani walifurahi sana wakiamini sasa wametoka kwenye kipindi kigumu cha JPM na sasa wanaingia kipindi ambacho watafanya siasa kwa uzuri,
Mambo yalianza kwenda mlama baada ya kushindwa kukutana nae ikulu, na hivi sasa upinzani wanashangaa kuona kipindi hiki ndio wanapitia magumu hadi Heche alisema hata JPM hajawai kuwafanyia hvyo, Lakini ukiangalia muonekano na hotuba za Mama SSH anaonekana ni mtu mkarimu sana, anaongea kwa Busara sana, Anaongea kwa hekima na anaonekana anahuruma sana lakini kwenye mambo yanayoendelea tumechanganyikiwa tunashindwa tumuhusishe moja kwa moja Rais Samia au yeye hausiki?
Kuna watu wanasema huwenda wanaomshauri Rais ndio wanampoteza au kuna watu wa karibu wanamuhujumu, lakini je mbona alivyoingia aliwaachia huru watu waliobambikiwa kesi? je nani alimshauri? nani alimuhujumu?
Tuelewe nini jamani?
Angalia sakata la Sabaya mteule wa Rais aliyepita yuko anasota kisongo na mda si mrefu atapigwa mvua ya mawe, mother yupo kimya kabisa dah
Hebu angalia Sakata la Askofu Gwajima Samia amevunga kama halioni vile, na jana kaongea kwa utani sana pale kawe lakini shangaa Gwajima leo kawekwa kiti moto na chama chake na si ajabu likaja bonge la adhabu huko,
Samia mnapiga wote stori vizuri ila ukipata msala unakufa nao kivyako
Mimi kwakweli Samia simuelewi ni mpole au ni mkali?