Ni ndoto Vyama vya Upinzani kushinda Uchaguzi Mkuu hapa Tanzania

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Labda kwa nchi nyingine za Kiafrika ambazo bado wanahangaika na siasa wakati wote, lakini kwa hapa Tanzania tusitegemee jipya kwa Upinzani kushinda Uchaguzi Mkuu.

Hawajajipanga, na wapo busy kupiga siasa mitandanoni na si kwenye grounds. Hata takwimu zao za wanachama ni fake kabisa.

Yaani kutoka wao ndo tupate Katibu Mkuu Kiongozi, Mawaziri, Mabalozi, Makamishna, MaRC, DC, DED, DAS, RAS? Wapeleke ujinga huko.

CCM mwanzo mwisho kudada deki, kama wanataka wajipange kwa miaka 50 ijayo!

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Huwa nina jiuliza. Nani mwenye jukumu la kuunda upinzani.

Mbona kila mtu anatamani upinzani madhubuti lakini ana hamishia hilo jukumu kwa wengine?

Eti upinzani kutawala ni ndoto. Anayetaka wasitawale ni pamoja na wewe unae lalamika.
 
UPUUZI MTUPU!

Hata hili bandiko lako ni ndoto pia
 
Huwa nina jiuliza. Nani mwenye jukumu la kuunda upinzani.

Mbona kila mtu anatamani upinzani madhubuti lakini ana hamishia hilo jukumu kwa wengine?

Eti upinzani kutawala ni ndoto. Anayetaka wasitawale ni pamoja na wewe unae lalamika.
Mkuu hii nchi ni ngumu sana hua natamani nikaaishi kwa watu ambao hawana unafiki km sweden ama canada huko husikiii watu wanafiki km hawa yaan sijui wanadhani mabadiliko yanaletwa na nani km sio sisi wenyewe .Tunaacha watu wanaitafuna nchi na kutupa matozo kibao.
 
Wakiingia ground ,mnapiga risasi za ovyo ovyo mpka zinawaua wengine ambao hawahusiki.
 
Mkuu hii nchi ni ngumu sana hua natamani nikaaishi kwa watu ambao hawana unafiki km sweden ama canada huko husikiii watu wanafiki km hawa yaan sijui wanadhani mabadiliko yanaletwa na nani km sio sisi wenyewe .Tunaacha watu wanaitafuna nchi na kutupa matozo kibao.
Kweli mfano- unafiki wa Lissu na Lema,wamkimbia Mwendazake,Sasa hayupo mbona hawarudi?au walikwenda kutafuta maisha?
 
Back
Top Bottom