Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na kuitwa senior state attorney kwa vigezo gani?
Lakini pia wenzao wanawasilisha hoja zinazoambatana na references kuonyesha maamuzi mbalimbali yaliyowahi kutolewa na Mahakama lakini upande wa Jamhuri wanatoa plain words, it's like hawakusoma Wala KUJIANDAA au walishaahidiwa maamuzi ya Mahakama Ni yapi.
Kama Hawa ndio senior state attorney sishangai kuona kwenye kesi zinazoendeliwa mahakama za kimataifa tunaajiri mawakili wa kampuni binafsi kusimama mstari wa mbele huku mawakili wetu wakiwa nyuma. Sishangai kesi zetu kusimamiwa na madaktari na maprofesa wa sheria wanaolipwa mabiliaoni.
Huu mfumo wakipeana kazi kindugu unaua professional, kesi hii ingerushwa live Dunia ikaona namna serikali ilivyopwaya tungeweza kupewa hata misaada tuboreshe mfumo wetu wa elimu. Unajiuliza wanashinda vipi mapingamizi na kesi?