Siku moja kabla Askofu Gwajoma hajahojiwa na kamati ya bunge niliibua uzi unaosema bunge halina mamlaka ya kumuhoji alichoongea kanisani.
Hivyo nikashauri Gwajima akatae kujibu swali lolote...
President Samia Suluhu Hassan has kicked off the recording of a documentary titled 'Royal Tour'.
The recording of the documentary that is meant to promote Tanzania internationally started on...
Kupigania katiba mpya Tanzania ni wajibu wetu na hasa wote tulio na akili timamu.
Tutake nini kwa Mungu kama katiba mpya itatuhakikishia uwepo wa usawa, haki, uhuru na utawala wa demokrasia...
Hii ndio taarifa ambayo watu wote wapenda haki mnatakiwa kuifahamu , Ikumbukwe kwamba kumuombea Mbowe ni kuiombea nchi pia , ni kuomba haki itawale nchini na ni sawa na kuombea mafanikio ya KATIBA...
Gazeti la mwananchi toleo la leo limeripoti upotevu wa dhahabu ya bei kubwa hivyo kupelekea vigogo kadhaa wa madini kuingia matatani.
My take.
Enzi za kuzaliwa kwa mabilionea wa madini kama akini...
Binafsi nimefanikiwa sana kuzunguka mikoa kadhaa ya nchi kwa kazi maalumu za miradi ya afya. Kwa sehemu kubwa nimejionea namna zahanati zilivyojengwa hadi vijijini kabisa
Tatizo kubwa la nchi hii...
Askofu Bagonza
Jana mchana, mtandao wa Jamiiforums ulitutaarifu kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ataongea na umma wa Watanzania. Mpaka sasa hajasikika. Wakati tunasubiri hotuba yake...
JE TOZO ZA SIMU ZITAKUWA CHANZO CHA UHAKIKA CHA INGIZO LA FEDHA.!?
Leo 10:15hrs 05/09/2021
Mwaka 2017,Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa...
"Tumefanya mageuzi makubwa ndani ya Shirika la @posta_tz. Lengo ni kuwa na Posta ya Kidijitali, Posta kuwa kitovu cha biashara mtandao na huduma za Pamoja.
Katika kutekeleza azma hii, Siku ya...
Nikifuatilia tukio la Hamza naona kama kamanda Sirro anatumia nguvu nyingi sana kuipakazia uovu familia ya Hamza.
Nakumbuka Bwana Zombe miaka ile nae alivyotaka kutuaminisha kuwa ameua majambazi...
Nchi yetu itapiga hatua kimaendeleo katika sekta zote siku pale viongozi wa serikali wataacha upuuzi wa ku "underestimate" uelewa wa sisi wananchi wa kawaida.
Imefika hatua viongozi waache ile...
Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kuunguruma kwenye Mahakama ya Uhujumu uchumi , Ambapo mvutano wa kisheria umekuwa mkali hasa baada ya Mapingamizi yaliyowekwa...
Habari!
Binafsi ningependa serikali isingepunguza tozo hata 0.1%, ingewezekana basi tozo zingeongezwa kwa 50-100% ili serikali itimize makusudi yake kwa haraka.
Watanzania sio watu wa kuonewa...
Anaitwa Othuman Masoud Othuman Sharif Mzanzibari na mtu mashuhuri katika masuala ya sheria. Mh.Othumani alizaliwa kijiji cha Pandani huko Wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, tar 7 Februari...
Kahama. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari Tanzania kuhakikisha wanalipa tozo za muziki unaopigwa katika redio zao ili...
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna...
Simon Nyakoro Sirro alizaliwa eneo la Kiabakari wilaya ya Butiama mkoani Mara mwaka 1963.
Kuhusu elimu yake, Simon Sirro alisoma Shule ya Sekondari ya Ilboru jijini Arusha na Tosamaganga kabla ya...
Hebu tufikirie kwa kina hili swala haiwezekani kwa nchi ya watu maskini kama Tanzania kuwawekea wananchi wako hizi tozo
Kwanini tuendelee kumkandamiza mwananchi tozo kwa kizingizio cha kusema...
Mchungaji Mastahi wa KKKT Kimara amesema anamkubali Askofu Gwajima kwa sababu ana akili na hasa anaposema yuko tayari kwa yote isipokuwa kifo.
Mastahi anasema mkristo usikubali kupokea taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.