Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gerson Msigwa majibu yako yapo sahihi kuhusu Kigoma kuunganishwa na Gridi ya Taifa ila hoja zetu Kigoma sio hizo. Hata sisi wana Kigoma tunakiri kwamba Kigoma umeme utakuwa historia kutokana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
2 TIMOTHEO 3 Siku ya mwisho Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata...
10 Reactions
172 Replies
20K Views
Ule mshiko wa kukazania kuwa sababu ya Mbowe kutiwa jambajamba kila wakati na sasa kukamatwa katika aina ya kesi zinazochukua muda mrefu hadi kufikia hukumu ya mkosa au si mkosa ni sababu CCM...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi naishi Dar es salaam, mkoani kwetu au wilayani kwetu ma brother wangu 2 ni madiwani. Yaani hawana maajabu, hadhi yao naweza kuilinganisha na mwenyekiti wa serikali ya mtaa kwa hapa Dar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake ya mwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari na yeye...
26 Reactions
124 Replies
15K Views
Kitendo cha Wahisani/Wadau wetu wa Maendeleo kuhudhuria kesi ya Mbowe lengo lilikuwa ni kutuma ujumbe kuwa kesi hii tunaofuatili na tunasubiri kuona mwisho wake(hukumu itakuwa ni ipi). Baada ya...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
CHAMA CHA SAU CHAWASHAURI WANASIASA KUIUNGA MKONO SERIKALI YA AWAMU YA 6 Katibu Mkuu wa Chama cha siasa cha Sauti ya Umma (SAU ) Majalio Kyara akizungumza na Mtandao huu+ ofisini kwake Mgomeni...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Why Nations Fail: A Summary Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty (2013) by D. Acemoglu and J.A. Robinson. Overall Summary… Developed countries are wealthy because of...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa mtazamo mpana Kassim Majaliwa ndiye mwana CCM makini na bora kama CCM itaendelea kuwa madarakani basi huyu PM Kassim Majaliwa ndiye mtu pekee anafaa kuwa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa...
4 Reactions
99 Replies
8K Views
Tanzania ina katiba inayoruhusu uwepo wa vyama vya upinzani. Katiba ipo wazi imeeleza majukumu ya vyama vya upinzani ikiwa pamoja na namna ya kufanya siasa zake. Pia imeeleza majukumu ya jeshi la...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
1:DPP kumfutia mbowe mashitaka, nalo litamuongezea popularity kubwa na confidence ya kudai katiba. 2.Mahakama iamue kesi hii, na mbowe akishinda basi ni aibu kwa serikali. 3.Mbowe wamfunge jela...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu .. Hovyohovyo.. Tupeni bili..kodi.... Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!?? Lakini...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Sitashangaa endapo mchakato wa kinidhamu unaoendelea CCM utawatupa nje ya uongozi makada wawili maarufu komredi Polepole na askofu Gwajima. Lakini sitastaajabu endapo...
3 Reactions
59 Replies
48K Views
Humphrey Polepole amemaliza kuhojiwa na kamati ya maadili ya CCM. Polepole amewaambia waandishi wa habari kuwa hicho ni kikao cha chama na taarifa rasmi kuhusu yaliyojiri kikaoni zitatolewa na...
6 Reactions
66 Replies
8K Views
Kwanza naomba ieleweke hii sio kodi bali ni kuchangia elimu au tunaweza kuita kuchangia Mfuko wa Elimu kwa watanzania kugharamia elimu ya shule ya msingi na elimu ya juu. Napendekeza kila...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Friends and Enemies, Niwasalim kwa Jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA KAZ IENDELEE, Katika jambo ambalo kila nikikumbuka naishiwa kutokwa na machozi basi ni tukio la kinyama kabisa la...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA Leo jumamosi tarehe 04/09/2021 kulikuwa na kongamano la Katiba Mpya lililokuwa limeandaliwa na Bavicha Taifa katika Mkoa wa Mara...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
Nimejiuliza sana maana kakosea sana yaani zaidi ya sana kitu very basic mno kwa mfuasi yeyote wa Yesu Kristo. Ina maana Ndugai huwa hasomi Biblia? Ile sala ya kuliombea Bunge kila asubuhi huwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom