Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jaji Warioba akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema suala la kubadili sheria nyingi katika kila bunge zinaonesha umuhimu wa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema ni muhimu kuwa waangalifu kwa...
15 Reactions
70 Replies
8K Views
DANIEL CHONGOLO AMBAE NI KATIBU MKUU CCM TAIFA AMELIFUNGIA SIKU SABA GAZETI LA UHURU KWA KUCHAPISHA HABARI ISEMAYO KUWA RAIS SAMIA HASSANI SULUHU HANA MPANGO WA KUGOMBEA 2025. GAZETI LA UHURU...
8 Reactions
82 Replies
12K Views
Naona leo kulikuwa na kinachoitwa sherehe ya uzinduzi wa njia ya mchepuko wa maji huko Bwawa la Nyerere na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani alikuwa miongoni mwa wadau waliobonyeza kitufe...
16 Reactions
113 Replies
13K Views
Kamati ya nidhamu ya bunge baada ya kumaliza kazi yake iliwasilisha taarifa yake mbele ya spika na bunge kwa Ujumla na kupitisha azimio dhidi ya Gwajima na Jerry Slaa. Kwangu mimi sikuona haja ya...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Kabla ya hata uchaguzi na harakati zake kuanza, mwenyekiti wa Vijana wa CCM, Kheri James amekuwa akitoa matamshi hatarishi yenye viashiria vyote vya ugomvi. Ajabu ni kuwa hata sasa wakati wa...
32 Reactions
130 Replies
16K Views
KUFUNGIWA KWA GAZETI LA RAIA MWEMA NI MWENDELEZO WA SERIKALI YA CCM KUKANDAMIZA UHURU WA HABARI NA KUHUJUMU USTAWI WA DEMOKRASIA NCHINI Chama cha ACT Wazalendo kimeshtushwa na taarifa ya...
1 Reactions
5 Replies
969 Views
Serikali ikiendelea kumchekea huyu Mhuni Mchungaji Gwajima yatajirudia yale yaliyotokea wakati wa vita vya majimaji wapiganaji walivyopotoshwa na Kinjikitile eti risasi zitageuka maji ambapo watu...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Nimesoma maelezo ya DCI kwenye taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa wa Mwananchi news kua Marehemu Hamza alikua "Gaidi mfia dini" , hivi ni kweli kabisa ofisi ya DCI imeshindwa kupima kabisa uzito...
28 Reactions
185 Replies
14K Views
Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani. Huenda tukazika sana kama...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie? kwa maana...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu...
33 Reactions
69 Replies
49K Views
Kwanza achaneni na kesi ya Mbowe kuwa kama jambo muhimu la kugalimu nguvu kubwa ya chama. Ni wakati wa kupanga upya safu ya ongozi wa chama tena kwa kuweka sura mpya ili kuvuta hisia za wananchi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
RAIS SAMIA ATOA MABILIONI YA FEDHA SEKTA YA ANGA, ELIMU, MRADI WA SGR NA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MWALIMU NYERERE. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan aendelea na...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunapoteza mabilioni kutembeza msafara wa rais nchi nzima kutangaza vivutio vyetu vya utalii!? Tumesahau kwamba utangazaji wa vivutio vya kitalii ni fani inayofanywa na wenye weledi mkubwa na pia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
May mosi 2021 Rais alidai atalipa Bilioni 60 kwa ajili ya malimbikizo ya mishahara, ! Cha ajabu mpaka sasa hivi ni miezi mitatu tangu bajeti mpya hayo malimbikizo ya mishahara bado hayajalipwa...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Madini ya Tanzanite yanapouzwa ovyo yanashusha thamani yake, akisema yanatakiwa kuuzwa kwa mpangilio maalum Ameeleza hayo leo akizungumza na Wananchi Manyara na...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kumbukumbu zangu zinaonyesha yafuatayo; Komredi Pascal Mayalla aliwahi kuhojiwa na kamati lakini hakuwahi kuzungumzia kilichojiri japo hata maamuzi ya kamati hatujawahi kuyasikia. Alhaj Prof...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Na Thadei Ole Mushi. 1. Polepole ni Mwana CCM Masalia ya Magufuli. Yeye anaamini katika Magufuli na sio katika Chama Wala Misimamo ya Chama. 2. Polepole kiasilia si mwanasiasa Bali ni...
26 Reactions
64 Replies
5K Views
Back
Top Bottom