#COVID19 Wizara ya Afya isiache ukutoa mrejesho wa chanjo ya Johnson&Johnson

sambulugu

JF-Expert Member
Jun 1, 2021
3,882
7,143
Tunaomba wizara ifanye yafatayo

1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini.
2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa.
3. Taarifa ya chanjo zilizobaki itolewe na waziri.
4. Itoe taarifa ya mwenendo wa Corona.
5. Mkopo wa serkali wa kusaidia athari za Corona utolewe maelezo kwa wananchi.
 
Zimeexpire, kama una kadi ya CCM nenda kaongeze idadi ya waliochanjwa (ghost vaccinated) ili serekali ipewe zingine na hela juu.
 
Kumekucha Salama
Johnson And Johnson Unachoma Mara Moja
Sasa Hivi Naona Mambo Magumu Waziri Kimya
 
Tunaomba wizara ifanye yafatayo
1.Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini!
2.Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa.
3.Taarifa ya chanjo zilizobaki itolewe na waziri!
4. Itoe taarifa ya mwenendo wa corona.
5. Mkopo wa serkali wa kusaidia athari za corona utolewe maelezo kwa wananchi.
Hizo chanjo Gwajima kasema tutageuka kuwa mbuzi
 
Waliochanja ni 340,000 kati ya 60,000,000. Yaani 0.57%. Una swali lingine? Au hujaelewa nini mpaka kapo?
 
Imefanyuka midahalo na makongamano ya kila namna kuhusu chanjo, lakini Hadi leo serikali na wataalamu wake hawajasema zina-expire lini
 
DRC waliharibu juzi astrazenica chanjo laki tatu kwa mjibu wa BBC jana ila kwetu bado kimya!
 
1.Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini!

Huko kijijini ni shida Umeme unazimika mara kwa mara unakaa muda mrefu,uwezo wa kutunza ni mdogo kwa kiwango kinachotakiwa .
Naamini mpaka kufika muda huu J&J kuna watu watakuwa wanachoma hizi Chanjo ufanisi wa Chanjo ukiwa umepungua.
 
Sasa chanjo ni za watu wamijini tu? Wakati corona haichaui mkuu!
 
Zimeexpire, kama una kadi ya CCM nenda kaongeze idadi ya waliochanjwa (ghost vaccinated) ili serekali ipewe zingine na hela juu.
Unachosema karibia kina ukweli. Iko hivi nilifanya booking online ya kuchanja 26/08/2021 ktk kituo kimoja hapa Dar. Bahati Mbaya nilisafiri ghafla sikuweza kuhudhuria mpaka hivi Leo. Kilichonishangaza tarehe 11/09/2021 nimetumia ujumbe kuwa nimechanja tarehe hiyo na nimetumiwa cheti changu cha uthibitisho wa kuchanja. Nimeshangaa sana kumbe ni ongeza idadi.
 
Mmmmmm hili nalo neno...... cheti bila kuchanja! Serkali ishafeli kwenye hili! Tena great failure!
 
Unachosema karibia kina ukweli. Iko hivi nilifanya booking online ya kuchanja 26/08/2021 ktk kituo kimoja hapa Dar. Bahati Mbaya nilisafiri ghafla sikuweza kuhudhuria mpaka hivi Leo. Kilichonishangaza tarehe 11/09/2021 nimetumia ujumbe kuwa nimechanja tarehe hiyo na nimetumiwa cheti changu cha uthibitisho wa kuchanja. Nimeshangaa sana kumbe ni ongeza idadi.
Ndio hivyo wanafukia magap maana kule wanataka database ya waliochanjwa ili muendelee kupata pesa ya corona.

Hizi database zinakusanywa kwenye kituo cha kimataifa cha database ambayo itakuwa accessed kwenye airports na maeneo mengi muhimu.

Kitakuja kitu kinaitwa international COVID-19 passport na tayari kipo kinafanyiwa kazi lengo ni kuwaingiza watu kwenye hiyo database ambayo baadae itakuwa na kazi kubwa sana.
 
Back
Top Bottom