Mkuu wa mkoa wa Mara alitangaza kuwa leo ni siku ya usafi. Wanaodai katiba mpya nao wakakubali kushiriki usafi na baada ya hapo kongamano liendelee.
Tupeni kinachojiri huko!!!
==========
Mkuu wa...
Mwezi uliopita Askofu Gwajima Siku ya Jumapili akiwa madhabahuni alidai kuwa Jumanne iliyokuwa inafuata angekuwa na Zoom Meeting na rafiki yake ambaye ni CEO wa Pfizer pamoja na mgunduzi wa...
Ni miezi michache tu tangu bibi yetu achukue kijiti hiki.Mwanzoni alionekana kukubalika saana hasa na wapinzani na wenye mlengo tofauti na aliye kuwa rais wakati huo.
Lakini hali imebadilika...
Mungu Kuna watu anawatumia hapaduniani Kama shule kwa umma wake ili uongoke au ujifunze Jambo fulani magufuli ni mmoja wao.
Somo la kwanza
Ndugu pataneni mnapogombana maana mkishindwa mnampa...
September 15 ni siku ya kimataifa ya demokrasia duniani ambapo nchi mbalimbali duniani hupata fursa ya kujadili demokrasia ya nchi zao na wadau husika wa demokrasia katika nchi hizo kama vile...
Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa.
Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani?
Au ni...
Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika.
Kwa Ufafanuzi...
UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA.
UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa...
Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden wapo nje na wao wanasubiri chumba cha Mahakama kifunguliwe, ili waingie...
Kutokana na uzalishaji mkubwa wa mahindi uliofanyika mwaka huu na kupelekea bei ya mahindi kushuka sana, mbunge wa Namtumbo Vitar Kawawa ameiomba serikali itoe fedha inazopewa kama msaada wa...
Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum...
Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma
Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda
Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba...
Siri imevuja kuwa kumbe ule muswada wa CYBER CRIME unakuwa pushed na Waziri January Makamba ambaye anasifika kuwa mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii ili kuwafikia vijana wengi na watanzania kwa...
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye
Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sumaye amesema Bunge la chama kimoja halina afya kwa maendeleo ya nchi na kwamba bunge la namna hiyo huifanya Serikali ilale...
Ni vyema Rais Samia wakati wa kutoa maelekezo yake awe anakuwa wazi nini hasa anataka na atoe kauli zenye nguvu ili ujumbe ufike kwa nguvu pia kwa wahusika wote wa pande mbili.
Leo wakati anatoa...
Ile kesi ya mda mrefu ilieanzishwa na Mchungaji Mtikila imepatiwa ufumbuzi na Sasa serikali ya Tanzania inatakiwa iruhusu Wagombea huru kwenye chaguzi zetu ikiwemo wa uraisi
===
Baada ya Mahakama...
Nilijua tu kuwa hawa Rai wanaongopa. Hii ni taarifa ya Mnyika kwa vyombo habari:
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
VIONGOZI WA USHIRIKIANO WA VYAMA VYA UPINZANI KUZUNGUMZA NA WANANCHI KUHUSU...
Tafadhali tuma andiko hili kwa watanzania wasio pungua 10. Pale ambapo hakuna internet chapisha na sambaza kila kona ya nchi.
TANZANIA KUBADILIKA INAWEZEKANA
Mwaka wa 1961 tulipata uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.