Watu wenye hasira wachoma moto makao ya polisi
2007-10-09 11:13:02
Na Renatus Masuguliko, PST Chato
Watu 56 wanashikiliwa na polisi mkoani Kagera kwa kuhusika na vurugu za kuchoma moto makao...
Alberta royalty grab stuns oil industry
Stelmach unveils new regime that will mean a potential windfall of $1.4-billion for the provincial treasury beginning in 2010
DAVID EBNER AND KATHERINE...
Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?
Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu...
Mengine yote yatakupotezea muda mwisho wa siku hao hao wenzako watakupiga na chini na maneno kibao, hawana kheri hao
Jambo moja Rais Samia la kuwafadhaisha hao wanaokusogelea ambao hawana ukweli...
Mozambique President Filipe Nyusi on Tuesday announced that the country's armed forces, with the help of Rwanda and the Southern African Development Community (SADC) forces, have reclaimed nearly...
Siku zote mara baada ya uteuzi, viongozi huwa wanaapisha. Na wakishaapishwa mmoja mmoja kuna kiapo kingine, wenyewe huita ahadi ya maadili huwa wanakiimba wote. Lakini ukiisoma ahadi hiyo kifungu...
Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge.
Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni.
Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo...
Salaam
Tuongelee Siasa za CCM. Je, nani ana ubavu wa kusambaratisha Mtandao wa Kisiasa wa January Makamba?
Kwanza anaijua Tanzania kuanzia Kazulamimba hadi Nangurukuru. Rais wangu Samia anaijua...
Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina .
Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama...
Mheshimwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amekutana na Kufanya mazungumzo kwa wakati tofauti na Mhe Rais Salva Kiir na Makamu wa Rais Riek Machar wa Sudani Kusini mjini Juba leo
Rais Kiir amekua Rais...
Hakika dhana ya kuwa wabunge ni watetezi wa wananchi binafsi siioni kabisa.
Isitoshe pia kusema sioni bunge kuibana serikali zaidi ya kuipongeza.
Huu ni mwaka wa 6 toka toka serikali ya awamu ya...
Kwanza nikupongeze mzee wangu kwa uteuzi wako naamini Mungu hamtupi mja wake.
Mwisho nimefurahi kuona umeanza kukimbizana na TANROADS kuhusu kiwango cha lami.
Ukipata muda asubuhi nenda na...
Members, Leo nimekutana na kijana aliyesoma udsm amechoka kukatwa asilimia 15 % kwenye Gross Salary yake kulipa deni lake la mkopo wa wanafunzi(HESLB)
Amebakiwa na deni la Milioni...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao
Na Mwandishi wetu Mtwara
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa...
Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake.
Pia soma > Serikali iachane na sensa...
TANGAZO MUHIMU KWA WATUMISHI WOTE
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mnatangaziwa kwamba Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atazindua Zoezi la Sensa kitaifa tarehe 14...
Shule za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zimeanza kufungwa na kubaki kuwa mazalia ya wadudu, baada ya wananchi kwa umoja wao kuzigomea kupeleka watoto kusoma humo.
Hii ni...
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Chanzo: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti.
===...
Ni ukweli kwa 100%, ni vigumu sana kumwunga mkono jambazi akisema kuwa ujambazi ni mbaya. Lakini ukweli hautabadilika kuwa alichosema jambazi ni sahihi ingawa yeye mwenyewe hakiishi.
Kuna kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.