Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,353
11,492
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.

Screenshot_20210911-235715~2.png
Screenshot_20210911-235835~2.png
 
The Royal Tour is a groundbreaking series of television specials, produced and hosted by Emmy Award-winning journalist Peter Greenberg, showcasing nations in a way no visitor has ever seen them before. Guided by some of the most dynamic and powerful Heads of State, Peter journeys deep inside each country to offer viewers access to extraordinary locations, historic landmarks and cultural experiences. Everything shown within these one-hour programs is accessible to the viewers who wish to travel to these amazing destinations themselves.
 
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.

View attachment 1934034View attachment 1934036
Hakuna tatizo kabisa! Ni unyenyekevu tu alio ao mama yetu!! Wanyenyekevu huinuliwa!! Wasi wasi wangu tu ni kwamba yule mtu mmoja tu mwenye haki ya kuona wivu anajisikiaje? Vinginevyo ni kazi nzuri mno, na italeta matokeo makubwa!! Kwa hapo hongera sana mama!!
 
Matokeo makubwa uliyapima wapi au ni yaleyale ya BIG RESULTS NOW tuliyodanganywa.
 
Hakuna tatizo kabisa! Ni unyenyekevu tu alio ao mama yetu!! Wanyenyekevu huinuliwa!! Wasi wasi wangu tu ni kwamba yule mtu mmoja tu mwenye haki ya kuona wivu anajisikiaje? Vinginevyo ni kazi nzuri mno, na italeta matokeo makubwa!! Kwa hapo hongera sana mama!!
Daah..... Wewe una elimu ya darasa la ngapi? Inabidi kuboresha Elimu aiseeeeeee
 
Hakuna tatizo kabisa! Ni unyenyekevu tu alio ao mama yetu!! Wanyenyekevu huinuliwa!! Wasi wasi wangu tu ni kwamba yule mtu mmoja tu mwenye haki ya kuona wivu anajisikiaje? Vinginevyo ni kazi nzuri mno, na italeta matokeo makubwa!! Kwa hapo hongera sana mama!!
Hoja nzito ila kiutu uzima zaidi
 
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.

View attachment 1934034View attachment 1934036
Ni heshima kubwa sana, inategemea wewe unaesema si heshima ni wa malengo upi? Kwasababu hiyo ni kazi kama kazi nyingine, sawa akiitwa mvuvi special, akiitwa mkulima special, mwalimu special n.k muhimu yeye ndio kinara wa shughuli zote, yaani yeye ndio number 1
 
Km kweli hv Mkuu. Fact
 
Back
Top Bottom